Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kitu gani kwani? Mbona wanitisha 😂😂😂Unataka niseme hapa uaibike?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu gani kwani? Mbona wanitisha 😂😂😂Unataka niseme hapa uaibike?
Sawa tuKitu gani kwani? Mbona wanitisha 😂😂😂
We niambie bro me muelewa si unanijua? Toa dukuduku am rede tapika 😂😂😂😂Sawa tu
Namwachia mungu, kwaheriWe niambie bro me muelewa si unanijua? Toa dukuduku am rede tapika 😂😂😂😂
Utamuachiaje Mungu na muhusika nipo? Emu niambie bana! Au nipm uniambie, ngoja nifungue pmNamwachia mungu, kwaheri
Maneromango iko mkoa ganiLabda ingekuwa vice versa mkuu....ila wapo Wazaramo Wakristo hasa wa Maneromango.
Ndeti.....Mwalemi sito [emoji120]
🤣🤣🤣🤣Napenda kuhudhuria ngoma zao, si rahisi kuondoka bila demu
Mkinga uboraniMwalemi sito [emoji120]
Nilikuwa nafanya biashara tandale Tanesco ni wateja wangu Sana..... Ila naona mko poa labda sikuwa naish uko lkn kawaid tuu mpo fresh
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Mna roho za kwann sana,na uchawi kwenu ni kawaida
Labda ingekuwa vice versa mkuu....ila wapo Wazaramo Wakristo hasa wa Maneromango.
Wafupi kama sabuni ya kipande.
Msomi wa form 4 kijijini hamtakunywa maji
Usilite kaka.Research yako ni ya kiwivu watu wafupi ni warugulu nenda kapambanue vizuri
Usilite kaka.
Sasa mndengereko nimwonee wivu ana nini?