Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Hawa watu ni wanafiki sana na si watu poa kama udhaniavyo.
 
Sio udini hapa ila ndio asili
"sisi wazaramo Bora utuue kuliko kuwa mkristo[emoji16]"
kwetu ukiwekwa gari picha ya yesu hupati abiria utasikia kaweka picha ya mkristo [emoji16][emoji16][emoji16]

Wale wamanelumango ni wazaramo wa wapi?
 
Stori za Kijijini kwenu hizi sio za mjini
 
Wazaramo wanapatikana wapi mana hapa mzizima hatuwaoni.

Mtoto zai alinihifadhi wakati wa dhiki.
Unalazimisha kuwa Mdar es salaam. Ni kawaida Kwa wanaoona aibu kusema makwao wataonekana washamba au wivu kusema hivi. Asili haikopwi.
 
Chutney, pickle, hii Ina ladha ya uchachu kwa ajili ya kutia hamu ya kula, inaliwa Kama kachumbali au chachandu, Kuna siku nikija dodoma nitakuletea uje kuonja nzunguni nitafikia.
Asante mkuu tutawasiliana DM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…