hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AssssSio wachoyo wa utelez pia
Fala Sana ww mtoto wa mzee sangaMm nlhamia Lyamungo nikitokea nsumba....
Aaah haina nouma..... I guess Lyamungo umepita apo
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Hatari hiyoTatizo lao hawana adabu na Wana huruma sana mama na mtoto kukupa utelezi kawaida tu na hata wakijuani hawagombani
Asante chief, kuna vigoma huko kila ijumaa maana ndio ugonjwa wangu huo??Nenda kisarawe vijijini ndio utaenjoy zaidi
Mbilimbi ndio kitu gani wajamvi??Kila nyumba ya mzaramo hukosi kichupa Cha mbilimbi.
Lazima nifikeVya kumwagililu mpaka kusaza
Chutney, pickle, hii Ina ladha ya uchachu kwa ajili ya kutia hamu ya kula, inaliwa Kama kachumbali au chachandu, Kuna siku nikija dodoma nitakuletea uje kuonja nzunguni nitafikia.Mbilimbi ndio kitu gani wajamvi??
Ukiishi nawasukuma utakua bored wao muda wote wanaongea kisukuma hawajali mgeni ukija uzaramoni kama kizaramo wataongea wakiwa pekeaoWasukuma
Ukiwa na pressure usikae uzaramoni maana kuchaba ni sifa, kama mkeo hajui kuchamba achana nae,🙏 usije kufa na masononeko Bure.Niliwahi kusikia ukimmkwaza mzaramo anaweza kukuchamba Hadi ukafa😂😂
Au huwa wanasingiziwa tu😂😂
Mi sio mzaramo ila wazaramo ndo wameifungua tanzania just imagine dar ingekua yawasukuma nzengo ingekua kila kona, kisukuma kingeongelewa had mliman city, ng'ombe wangekua wanazagaa had kariakoo[emoji23][emoji23]Ningesema wazaramo ndio WATANZANIA mngeniona na Mimi mzaramo.[emoji1787]
WashirikinaWasukuma
Walikuroga?Washirikina
Kiukweli watu wa Pwani mostly ni wakarimu sana , nawapenda , hawapendi sharii wenyewe ni maneno na madongo basii