Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.

Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.

They mind their own business.

They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.

Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.

Wazaramo wako poa sana.

Hakuna watu poa kama wazaramo.

Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi.

Wazaramo oyeee

Wahehe/wabena oyee!

Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..
Hawa watu ni wanafiki sana na si watu poa kama udhaniavyo.
 
Sio udini hapa ila ndio asili
"sisi wazaramo Bora utuue kuliko kuwa mkristo[emoji16]"
kwetu ukiwekwa gari picha ya yesu hupati abiria utasikia kaweka picha ya mkristo [emoji16][emoji16][emoji16]

Wale wamanelumango ni wazaramo wa wapi?
 
Mkuu sipingi kabisa kuhusu hili ni watu poa sana pia sio watu wa ugomvi sema midingi ya huko ni mivivu hatari sana!
Pia Kwa utelezi wapo poa snaaaa!!
Tulikuwa na kasumba tukisikia mwali Kwa fln tunaenda na mchele hata kg4 na sukari ewaaaah Kwa kurudi husindikizwi na mwanaume anachaguliwa binti kulingana na umri wako.wazaramo mbarikiwe sio Kwa ukarimu huo. Ingia usukumani kaka mtu akukute umesimama na dada yake halfu uwe wa kuja asee kama hutaavha mguu basi kimbia sana
Stori za Kijijini kwenu hizi sio za mjini
 
Wazaramo wanapatikana wapi mana hapa mzizima hatuwaoni.

Mtoto zai alinihifadhi wakati wa dhiki.
Unalazimisha kuwa Mdar es salaam. Ni kawaida Kwa wanaoona aibu kusema makwao wataonekana washamba au wivu kusema hivi. Asili haikopwi.
 
Back
Top Bottom