Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nasikiaga tu ndoa za kwa mkuu wa wilaya/Bomani. Inawezekana kufunga ndoa mahakamani? Na swali la nyiongeza, ndoa za kimila hufungishwa wapi, na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ni kwa DCNasikiaga tu ndoa za kwa mkuu wa wilaya/Bomani. Inawezekana kufunga ndoa mahakamani? Na swali la nyiongeza, ndoa za kimila hufungishwa wapi, na nani?