Hivi Tanzania na Africa hatuna uhusiano na Latin America?

Katika nchi zote za Latin America Argentina haina uhuni mwingi. Pale Bogota Colombia hapana aisee, siku 14 nilizokaa pale ilikuwa kama mwaka. Africa hakuna wahuni na watemi wanaigiza tu
Colombia tena...

Hiyo brazil yenyewe kuna uhuni bongo hakuna, nishakaa rio na Sao
Kipindi fulani nyuma...

Ova
 
Katika nchi zote za Latin America Argentina haina uhuni mwingi. Pale Bogota Colombia hapana aisee, siku 14 nilizokaa pale ilikuwa kama mwaka. Africa hakuna wahuni na watemi wanaigiza tu
Cartagena na Medellin miji ya Colombia kuna watoto wakali sana
 
Katika nchi zote za Latin America Argentina haina uhuni mwingi. Pale Bogota Colombia hapana aisee, siku 14 nilizokaa pale ilikuwa kama mwaka. Africa hakuna wahuni na watemi wanaigiza tu
Argentina ni ya Wazungu, hakuna latino na blacks,
 
Huko Brazil balozi atakua anasoma magazeti na kucheza game tu, hakuna ishu
 
Na wenyewe ni chawa mingi tu kama Afrika.Kipofu aombe kuvushwa mtaro na kipofu mwenye ukiwete?
 
Nchi kama ice land, uzbekhistan, tajikistan, mongolia na brunei sijawahi kusikia balozi wa tanzania huko. Kuna sababu ya kujua ni kwa nini hatuna ubalozi huko wakati hizo nchi zina fursa ya kibiashara
 
Tanzania ni nchi masikini sana. Kuweka balozi nchi zote duniani haiwezekani na ni gharama mno.

Marekani ndo anaongoza kwa kuwa na balozi nyingi na hazipo kila nchi.

Na kuna nchi kwa mwaka mzima unaweza kuta kuna watanzania hata 10 hawafiki kutembelea.

Unaweka balozi za kazi gani.?
 
Zile nchi Marekani ndo kila kitu. Mimi nazaliwa Keko niliiona Shell pale mnazi mmoja. Kule Shell ndo kila kitu kwenye vituo vya mafuta. Wametuzidi miundo mbinu sisi bado sana. Ila zile muvi za kihuni za Marekani kule ndo maisha hasili
Nilisikia kuna yule jamaa Pablo Escobar muuza ngada billionaire inasemekana alikuwa anatumia baadhi ya utajiri wake kujenga miundombinu nchini mwake, hivyo wananchi walimpenda japo kuwa alikuwa katili ile mbaya.

Marekani hawakumpenda hata kidogo kutokana na kuwa wahanga wakubwa wa biashara zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…