Hivi TANZANIA tuna Air defence system ya aina gani?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Poleni na majukumu wakuu
Naomba kuuliza,kwenye hii vita inayoendelea huko ulaya,tunaona jinsi wenzetu wa Ukraine wanavyojitahidi kuzidungua ndege za Russia na kuzuia baadhi ya makombora kwa kutumia mfumo wao wa ulinzi wa anga.
Hivi sisi hapa kwetu tunayo air defence system, na kama tunayo ni ya aina gani?
 
Uambiwe ili iweje wakati ndio siri kubwa kuliko zote ndani ya nchi hii
 
Unataka nchi ianike siri ili maadui zetu watuvamie?
 
Ipo bro. Tanzania Airforce Command, tokea mwaka 64.

Ukonga, Mwanza na Nyerengere Air Bases.

Tuna fighters, chopper, trainer na transpoter.
Kama unaangaliaga uhuru day zile ni trainer zile jet ndege zinapita kibati. Mfano Shenyang na Chengdu.

Mfano wa Fighters tulionayo ni Chengdu J7 ambayo ni fighter jet ya 3rd generation.



Nyingine hatuoneshwi kwa sababu za kiusalama lakini tupo vizuri sana mzee baba.
 
Air defence system sio air force.
 
nafikiri ni swali kwa homeboy luteni denis urio popote alipo majibu tafadhali
 
Atakaekupa hio siri kiundani zaidi basi atafute pa kuishi 🤣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…