Hivi TANZANIA tuna Air defence system ya aina gani?

Hivi TANZANIA tuna Air defence system ya aina gani?

Hakuna zaidi ya Laptop mbili za DELL na radar moja used tena ya mchongo.
 
Poleni na majukumu wakuu
Naomba kuuliza,kwenye hii vita inayoendelea huko ulaya,tunaona jinsi wenzetu wa Ukraine wanavyojitahidi kuzidungua ndege za Russia na kuzuia baadhi ya makombora kwa kutumia mfumo wao wa ulinzi wa anga.
Hivi sisi hapa kwetu tunayo air defence system, na kama tunayo ni ya aina gani?
Mkuu huo.mfumo bei kali sanaa
 
ukiwa nje ya msitu hutajua Kama kunanjia au msitu umeshona njia hazipitiki ,mwezako alitumwa apeleke barua sehemu mpakaleo hatujui yukowapi unahamu yakujua jeshi likoje ujuaji wa zito kabwe woote bungeni hawawahi jadili bajeti yajeshi
 
Ila taifa Lina chakujifunza hapa,ni vizuri taifa ka taifa tukawa tuna utamaduni wa kuhahakikisha kila mtu anajua kutumia bunduki vizuri,si mnaona Vita vikitokea wote tunakuwa wanajeshi,kuliko kusubiria vita then una mfundisha mtu siku tatu tu una mwambia aende, napenda ifanyike hivi for protection of our lovely country
Si Kuna kwa mujibu now days mkuu
 
Back
Top Bottom