Hivi TANZANIA tuna Air defence system ya aina gani?

Hivi TANZANIA tuna Air defence system ya aina gani?

Poleni na majukumu wakuu
Naomba kuuliza,kwenye hii vita inayoendelea huko ulaya,tunaona jinsi wenzetu wa Ukraine wanavyojitahidi kuzidungua ndege za Russia na kuzuia baadhi ya makombora kwa kutumia mfumo wao wa ulinzi wa anga.
Hivi sisi hapa kwetu tunayo air defence system, na kama tunayo ni ya aina gani?
Ilikuwa zamani sasa hivi hatuhitaji tena maana mabeberu tuliowaogopa sasa tunawakabidhi raslimali zetu kwa hiari yetu
 
Poleni na majukumu wakuu
Naomba kuuliza,kwenye hii vita inayoendelea huko ulaya,tunaona jinsi wenzetu wa Ukraine wanavyojitahidi kuzidungua ndege za Russia na kuzuia baadhi ya makombora kwa kutumia mfumo wao wa ulinzi wa anga.
Hivi sisi hapa kwetu tunayo air defence system, na kama tunayo ni ya aina gani?

Utasikia tanzania ina S 400 [emoji15][emoji15]
 
Ila taifa Lina chakujifunza hapa,ni vizuri taifa ka taifa tukawa tuna utamaduni wa kuhahakikisha kila mtu anajua kutumia bunduki vizuri,si mnaona Vita vikitokea wote tunakuwa wanajeshi,kuliko kusubiria vita then una mfundisha mtu siku tatu tu una mwambia aende, napenda ifanyike hivi for protection of our lovely country
 
Ipo bro. Tanzania Airforce Command, tokea mwaka 64.
View attachment 2134180
Ukonga, Mwanza na Nyerengere Air Bases.

Tuna fighters, chopper, trainer na transpoter.
Kama unaangaliaga uhuru day zile ni trainer zile jet ndege zinapita kibati. Mfano Shenyang na Chengdu.

Mfano wa Fighters tulionayo ni Chengdu J7 ambayo ni fighter jet ya 3rd generation.

View attachment 2134181

Nyingine hatuoneshwi kwa sababu za kiusalama lakini tupo vizuri sana mzee baba.

mkuu unajua maana ya air defence system ?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo uchafu utautumia kupigana na nani dunia ya sasa
Pole sana kwa fikra zako. Jifunze kujua kila jeshi lina silaha kuanzia ndogo hadi kubwa.hizo silaha umeona unazoita uchafu zinatumika na mataifa madogo na makubwa ndugu. Ungefanya utafiti mdogo tu google ungejua inatumika na nani na katika level ipi. Sio kila sehemu kwenye vita utaona makombora makubwa, ndio maana walioingia kyiv wanapigana kwa portable weapons (small arms). Unajua assaulting mobile inf weapons? Silaha za nchi zinanunuliwa kulingana na nguvu ya, adui wako na sio kununua kila silaha mpya unayoiona.

Sent from my HTC Desire 10 lifestyle using JamiiForums mobile app
 
Poleni na majukumu wakuu
Naomba kuuliza,kwenye hii vita inayoendelea huko ulaya,tunaona jinsi wenzetu wa Ukraine wanavyojitahidi kuzidungua ndege za Russia na kuzuia baadhi ya makombora kwa kutumia mfumo wao wa ulinzi wa anga.
Hivi sisi hapa kwetu tunayo air defence system, na kama tunayo ni ya aina gani?
sasa sisi hayo madude ya nini we nao threat to anyone and we have no threat from anyone african is about love and we love our family
 
Uliza budget ya jeshi lako kwanza...unataka tule nyasi?
 
Majibu ya hilo swali lako utayapata lugalo,upanga,airport ya dar na kambi nyingine zote.Wewe ukienda pale waulize hilo swali lako na wao watakujibu ipasavyo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]kama mazuri yani
 
Back
Top Bottom