Hivi Tanzania tuna cyber army?

[emoji38] [emoji38] [emoji38] chezea baka baka wewe.

Mkuu jeshi linalozungumziwa na mtoa mada haliwahusu hao, sio la mitutu na mabuti ni kompyuta na cable, jeshi la kupambana na wavamizi wa mitandaoni.

Kimsingi TCRA wanahusika hapa ingawa sina uhakika kama wako fiti.
 
Hatuna hilo jeshi sisi

Ila tuna malaika ana liswichi la mitandao.

Tukishambuliwa tunamtuma akawazimie maadui zetu
 
Linamhusu nani sasa
Alichouliza mleta mada ni je Tanzania tuna cyber army?
Mi nimetoa picha ya jeshi letu lilivyo sio kwamba sielewi
Wanajeshi wetu wasifu wao ndo huo
 
hawawezi mkuu. Ila kwa mtazamo wangu hii ni sehemu ambayo hata nchi masikini zinaweza kufanya vizuri maana mtaji mkubwa ni ubongo unaochemka.
Ila function ya ubongo huwa inafanya kaz the way unavyoufikilicha na kukumbana na mambo meng lkn watanzania hicho kitu tumekosa pia innovation always go direct with facilities.
 
Mimi nadhani linaweza kuwepo na hata kama halipo bado mambo haya huwa ni top secret,kwani kwa dunia ya leo jinsi ilivyo ungekuta tumesha shambuliwa.
 
Tz bado sana, hata hackers tz ni wachache
 
Tunaanzanje wakati kipindupindu bado noma?!
Ni wazo zuri ambalo ningeshauri litekelezwe kwa ngazi ya kikanda yaani Cyber Army ya Afrika Mashariki!
 
Huku bado wakina mbowe wanafanya ziara ulaya za kujifunza maswala ya demokrasia.
 
Mimi nadhani linaweza kuwepo na hata kama halipo bado mambo haya huwa ni top secret,kwani kwa dunia ya leo jinsi ilivyo ungekuta tumesha shambuliwa.
siku hizi siri kama hizi hakuna tena.kama kipo watu watakuwa wanajua.
 
Kwa north korea na sikia makao makuu ya kikosi cyber chao wana komputa yenye ukubwa na umaarufu sawa na wa jengo la kitega uchumi enzi hizo.

Na washawasha!
 
we huku unatengeneza cyber army halafu computer na flash na kila kitu unaagiza toka china na OS anatengeneza mtu toka nje daah hapo sasa inakua kazi kwelikweli..wenzetu kdg wana unafuu maana wanatengeneza masupercomputer yakwao wenyew na maoperating sysytem na kila kitu cha kwao so kdg wanakua secure .........(ingawa NSA wananusa kinoma na unakua salama pale tu unapokuwa hauko connected na internet kinyume na hapo ni majanga matupu)
 
Kwa north korea na sikia makao makuu ya kikosi cyber chao wana komputa yenye ukubwa na umaarufu sawa na wa jengo la kitega uchumi enzi hizo.

Na washawasha!
aisee wale jamaa inabidi tu tukubali wana akili za ajabu...........kwanza kule kwao wanatumia internet yao wenyew ambayo aiko connected na hii tunayotumia wengne kwahio hamna uwezekano kabisa wa kuwashambulia kimtandao wao wanashambulia tu wengine
 
Hakuna ambayo imeshajitoshereza kwa kila kitu duniani ila ushirikiano wa kimataifa ndiyo nguzo ya kila kitu wewe unajua hiki mwenzio anajua kile. Pia tukio likifanyika kwako rafiki yako anataka kuja kujifunza kutoka kwenye tukio hilo ndo hapo mafanikio yanavyopatikana kwa kushirikana. Na ukumbuke silaha kubwa kuliko zote ni jinsi unavyoweza kukusanya taarifa mapema kabla ya tukio intelligence gathering.
 
Jamaa wa shari sana wana mpaka cyber commandos. Acha tu. Kuzuga ndio usiombe wana jaribisha makombora na kuya fanya ya fail kama zuga za kupotezea uwezo wao halisi kijeshi.

Na washawasha!

aisee wale jamaa inabidi tu tukubali wana akili za ajabu...........kwanza kule kwao wanatumia internet yao wenyew ambayo aiko connected na hii tunayotumia wengne kwahio hamna uwezekano kabisa wa kuwashambulia kimtandao wao wanashambulia tu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…