Hivi Tanzania tuna cyber army?

Hivi Tanzania tuna cyber army?

Mi naona uwezo tunao, hakuna linaloshindikana na watanzania tunauwezo mkubwa tu kiakili ila tukitqka kuwa fiti ni lazima mambo flani yabadilike, mifumo flani ibadilike na Serikali iamue kuwekeza kweli kweli ktk sayansi kuanzia ngazi ya awali na kuendelea. Siyo kwa ajili ya kupata watu wa cyber tu hatakupata wataalamu wengine ktk fani tofauti..

Hapa kwetu unakuta mtu anaunda kitu but anaweza pigwa marufuku na asiendelezwe wakati nchi za wenzetu mtu akionesha uwezo flani atasaidiwa kwa hali na mali...kwa mfano kuna mtu alitengeneza Helkopta mbeya naamin mlisikia kilichofata...nimewahi kukaa na mzee mmoja genius sana waisrael wenyewe walipobahatika kukaanaye walikubali (Mungu amrehemu huyu mzee kafariki mwaka jana) alikuwa anafanyakazi jeshini (engineer ) inasemekana aliwahi kutengeneza helkopta miaka ya 80, Alikuwa anauwezo kutengeneza bunduki, Aliwahi kutengeneza kinu cha kupukuchulia mahindi, ametengeneza madhine ya kutotolesha vifaranga nk...Je unaweza kuhisi mtu huyu alikuwa muhimu kwa kiwango gani endapo angewezeshwa na kutumika ktk Taifa.!?

Nachotaka kusema ni kwamba kilakitu kinawezekana ila uwekezaji lazima ufanyike na mifumo flani inayokwamisha watu kuonesha uwezo wao na kutokuwaendeleza, mifumo hii ibadilike
 
Jamaa wa shari sana wana mpaka cyber commandos. Acha tu. Kuzuga ndio usiombe wana jaribisha makombora na kuya fanya ya fail kama zuga za kupotezea uwezo wao halisi kijeshi.

Na washawasha!
aisee wale watu bhana ni hatari sn
 
Umeonaee!!! Wanapigana vita kali kwa sasa kati yao na US, S.Korea Japan kwa upande mwingine. Hii vita ni kali sana usiombe. Vita ya akili.

Na washawasha!
ndo vita za kisasa hizo yaan nchi inaweza ikafall bila hata kupigwa missile
 
ndo vita za kisasa hizo yaan nchi inaweza ikafall bila hata kupigwa missile

Rais wao mnyoa panki pamoja na ujanja ujanja mwingi akanasa kwa wa Marekani wamenda mpaka home kwake, wakapiga nae story kunywa wine na kula wakati mzuri, sina hakika kama kesha stukia huu mchezo wa akili aliofanyiwa.

i hao jamaa walikua washaandika wosia huko walikotoka
 
ndo vita za kisasa hizo yaan nchi inaweza ikafall bila hata kupigwa missile
zamani nchi ikishinda kwenye dog fight inaattain air superiority. kwenye cyber war unaweza tawala anga kwa kutumia kompyuta tu. ni vita mbaya kuliko tunavyodhani. mbaya zaidi hakuna rules of engagement. wamarekani walijiandaa na operation Nitro Zeus. ingetokea Israel wameivamia Iran. Marekani angeingilia kwa kuzima kila kitu.
 
yaan cku hizi unaweza kuwa una airdefense nzuri halafu isifanye kazi wakati inapohiyajika
 
Israel habari nyingine sasa wana smarti bullet, infantry yao na sikia ni maroboti kwa kwenda mbele. Iran wajanja wameona bora wakubali ya ishe.

Na washawasha!

zamani nchi ikishinda kwenye dog fight inaattain air superiority. kwenye cyber war unaweza tawala anga kwa kutumia kompyuta tu. ni vita mbaya kuliko tunavyodhani. mbaya zaidi hakuna rules of engagement. wamarekani walijiandaa na operation Nitro Zeus. ingetokea Israel wameivamia Iran. Marekani angeingilia kwa kuzima kila kitu.
 
ni kweli hizo stori mkuu?

Sina hakika ila nimesika maroboti yako kama 2 million hivi. Na wana kinywaji/chakula ukipewa basi brain yako ina kuwa monitored & controlled na laptop zao, wanacheza na akili yako watakavyo.

Na washawasha!
 
Back
Top Bottom