Hivi Tanzania tuna cyber army?

hakuna kinachoshindikana..... ni kufundishwa tu na uhodari.... na ivyo vitu inawezekana vipo nchini basi tu... zile radar za kuangalia wavamizi wa mipaka ya majin na nchi kavu zina operet vp... ndo hayo hayo tu ni vifaa na walimu tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…