technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Vijana nafasi yetu iko wapi? Sijawai kuona kijana mwenye umri Kati ya miaka 18-30 akiteuliwa na Rais kuongoza taasisi yeyote ya umma!
Wazee wa miaka 70 bado wapo serikalini wanabadilishwa kutoka huku kwenda kule.
Imagine IGP mstaafu anakula Tena shavu, Waziri mkuu mstaafu anakula Tena shavu? Alisahau Nini serikalini?
Ufanisi wa kijana wa miaka 30 na mzee wa miaka 70 Nani anafikiria sawasawa?
Vijana tuamke tudai katiba 50% ya teuzi ziwe za vijana under 35 years
Haiwezekani kila siku watu walewale tu mpaka wanafia madarakani