Wengi ndio wenye connection, watunza Siri za watu, wenye kujua ujinga mwingi wa watu.
Kuna miaka mbele hapo Tanzania inaweza kuwa na Mapinduzi mengi sana ya kijeshi na kiraia, maana wale wenye nidhamu za uoga na kijinga wengi watakuwa wamekufa.

Uongozi ni kazi wala sio wa kuutafuta wala kuulilia.., Ukishaona mtu anautafuta muogope kama Mkoma...
Na mwenye fikra za kupata uongozi kwa mgongo wa umri, jinsia, kabila au chochote kile tofauti na ujuzi wake, huyo ana ufukara wa fikra...
Mwisho wa siku start from the bottom sababu hata kijana wa leo nina uhakika utakuwa bora kesho (with age comes wisdom) na kama ni mpuuzi mwenye fikra za kipuuzi kadri siku zinavyoongezeka huenda fikra zako potofu zikaendelea kushika hatamu....
Badala ya kuwaza ni vipi nyie vijana mtafanya kesho yenu na wenzenu iwe bora mnawaza ni jinsi gani wachache wenu wataendelea kulamba asali kama wachache wa sasa wanavyolamba wakati majority wanaambulia vumbi..... (Instead of fighting for less think how it can be increase for many)
Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...; Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM anayetawala Leo) CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...
Hao ni wachache sana wanaopata hizo nafasi, wengi kitaa wanasota sana na ndio hawa wenye mwamko na uthubutu hata kidogo wakusimama kwenye siasa za upinzani.
Nina amini miaka fulani mbele Taifa litakuwa kwenye mkanganyiko mkubwa sana, na pakitulia basi keki italiwa na watu wote kwa haki, na ndio hapo pia maendeleo yatakuja kwa Kasi sana.
Uongozi ni kazi wala sio wa kuutafuta wala kuulilia.., Ukishaona mtu anautafuta muogope kama Mkoma...
Na mwenye fikra za kupata uongozi kwa mgongo wa umri, jinsia, kabila au chochote kile tofauti na ujuzi wake, huyo ana ufukara wa fikra...
Mwisho wa siku start from the bottom sababu hata kijana wa leo nina uhakika utakuwa bora kesho (with age comes wisdom) na kama ni mpuuzi mwenye fikra za kipuuzi kadri siku zinavyoongezeka huenda fikra zako potofu zikaendelea kushika hatamu....
Badala ya kuwaza ni vipi nyie vijana mtafanya kesho yenu na wenzenu iwe bora mnawaza ni jinsi gani wachache wenu wataendelea kulamba asali kama wachache wa sasa wanavyolamba wakati majority wanaambulia vumbi..... (Instead of fighting for less think how it can be increase for many)
Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...; Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM anayetawala Leo) CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...
Unajua kitu kinaitwa Grooming ? Issue sio kuangalia kuna wazee au vijana wangapi issue ni kuangalia utendaji upo vipi na kama watu wanawajibika..., kama wazee hao wangekuwa creme de la creme mwisho wa siku hata hao vijana be it mmoja au wawili ambao wakiwa chini yao wangeona kinachofanyika hence siku wakiingia ndani wanakuwa wameiva na wao kuongezea ile vigour na nguvu na usasa ungepata kitu kinachoeleweka...
Sasa kuliko kuanza kuangalia tuna wazee wangapi na vijana wangapi tuangalie kwanini hao wakuu wa wilaya wanaweka watu ndani (by the way wakati Makonda analeta utoto alivyokuwa mkuu wa wilaya au wale waliokuwa wanaweka watu ndani sikumbuki kama wote walikuwa wazee) au sijui uzee ni miaka mingapi... Tena ukiongelea mihemko mara nyingi huwa ni vijana ndio maana kuna msemo unasema bado haujakua (which means with age comes wisdom) ingawa kuwa matured haimaanishi age..., Ndio maana nikasema tangia mwanzo tusiangalie miaka bali uwezo na kama mtu ni mdogo na ana potential na anapenda uongozi afanyiwe grooming from bottom na apande mpaka juu... Na kama anafaa kwa nafasi husika basi apewe hata kama ana miaka 18...
Na ukiona kwamba kuteuliwa ndio kuonyesha mtu ameula na mpaka watu wanagombani.., basi kama taifa tumepotea sana uongozi umekuwa sio utumishi bali utawala...

Nimesema kwamba vijana hawafai ? Nimesema kuwapa watu kazi sababu ya Umri, jinsia, kabila au chochote kile tofauti na uwezo au ujuzi haifai...., Thus yoyote yule anayefaa basi apewe shughuli afanye na kama issue ya kumuondoa Polepole Bungeni ilikuwa sababu ya Umri ? Basi kama ndivyo pia haifai (asichaguliwe mtu au kutokuchagulia sababu ya biasness ya aina yoyote ile) kiangaliwe kitu kimoja tu..., nacho ni uwezo... ; na sababu kuna kazi zinahitaji mikiki mikiki ikionekana mtu ameanza kuchoka kwenda na wakati husika basi asipewe kazi husika.....

Ha hizo za mikikimikiki ni vijana wangapi wanapewa? Hapa naongelea kazi zote za teuzi kwanini vijana ni 2% na wazee ni 98% wakati population ya vijana ni kubwa kuliko wazee na watu wazima?
Nimesema kwamba vijana hawafai ? Nimesema kuwapa watu kazi sababu ya Umri, jinsia, kabila au chochote kile tofauti na uwezo au ujuzi haifai...., Thus yoyote yule anayefaa basi apewe shughuli afanye na kama issue ya kumuondoa Polepole Bungeni ilikuwa sababu ya Umri ? Basi kama ndivyo pia haifai (asichaguliwe mtu au kutokuchagulia sababu ya biasness ya aina yoyote ile) kiangaliwe kitu kimoja tu..., nacho ni uwezo... ; na sababu kuna kazi zinahitaji mikiki mikiki ikionekana mtu ameanza kuchoka kwenda na wakati husika basi asipewe kazi husika.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.