Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Bora haohao wazee, vijana ni washenzi mno. Wakipata madaraka hawana adabu wala staha, ni chawa pro max.Ufanisi ni kwenye kula tunda kimasihara!Full ngono plus ubabe,ushamba,ulimbukeni n.k, kwani marehemu Magufuli si aliwajaribu??Hukuwaona??