Uongozi ni kazi wala sio wa kuutafuta wala kuulilia.., Ukishaona mtu anautafuta muogope kama Mkoma...
Na mwenye fikra za kupata uongozi kwa mgongo wa umri, jinsia, kabila au chochote kile tofauti na ujuzi wake, huyo ana ufukara wa fikra...
Mwisho wa siku start from the bottom sababu hata kijana wa leo nina uhakika utakuwa bora kesho (with age comes wisdom) na kama ni mpuuzi mwenye fikra za kipuuzi kadri siku zinavyoongezeka huenda fikra zako potofu zikaendelea kushika hatamu....
Badala ya kuwaza ni vipi nyie vijana mtafanya kesho yenu na wenzenu iwe bora mnawaza ni jinsi gani wachache wenu wataendelea kulamba asali kama wachache wa sasa wanavyolamba wakati majority wanaambulia vumbi..... (Instead of fighting for less think how it can be increase for many)
Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...; Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM anayetawala Leo) CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...
www.jamiiforums.com