technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Tabia tu ya mtu angalia makampuni yote yanayofanya vizuri kibiashara Tanzania na dunia yote Yana asilimia kubwa ya vijanaVijana mujitafakari wazee wa hovyo ila naona kama vijana munatuzidi uhovyo
Ufanisi ni kwenye kula tunda kimasihara!Full ngono plus ubabe,ushamba,ulimbukeni n.k, kwani marehemu Magufuli si aliwajaribu??Hukuwaona??Ufanisi wa kijana wa miaka 30 na mzee wa miaka 70 Nani anafikiria sawasawa?
Katiba mpya ni muhimu sana kiongoziVijana nafasi yetu iko wapi? Sijawai kuona kijana mwenye umri Kati ya miaka 18-30 akiteuliwa na Rais kuongoza taasisi yeyote ya umma!
Wazee wa miaka 70 bado wapo serikalini wanabadilishwa kutoka huku kwenda kule.
Imagine IGP mstaafu anakula Tena shavu, Waziri mkuu mstaafu anakula Tena shavu? Alisahau Nini serikalini?
Ufanisi wa kijana wa miaka 30 na mzee wa miaka 70 Nani anafikiria sawasawa?
Vijana tuamke tudai katiba 50% ya teuzi ziwe za vijana under 35 years
Haiwezekani kila siku watu walewale tu mpaka wanafia madarakani
Sema mkuu tujifunzeKuna issues nataka kusema.a ila ngoja ni nyamaze TU
Kampuni sio sirikali mzee kampuni mtu akiona unazingua anakupiga na chini nyie bado hamjafikia hapaTabia tu ya mtu angalia makampuni yote yanayofanya vizuri kibiashara Tanzania na dunia yote Yana asilimia kubwa ya vijana
Sasa Kama kwenye makampuni wameweza itaakuwaje washindwe serikalini?
Angalia umri wa huyu dada halafu na elimu yake! Nakuuliza wewe na umri wako,tukikuweka pale ikulu utaweza??Vijana tuamke tudai katiba 50% ya teuzi ziwe za vijana under 35 years
Utendaji unategemea kalba ya mtu na siyo umri. Kuna vijana wengi sana wameteuliwa CCM lakini wamekuwa ni wa hovyo kuliko.Vijana nafasi yetu iko wapi? Sijawai kuona kijana mwenye umri Kati ya miaka 18-30 akiteuliwa na Rais kuongoza taasisi yeyote ya umma!
Wazee wa miaka 70 bado wapo serikalini wanabadilishwa kutoka huku kwenda kule.
Imagine IGP mstaafu anakula Tena shavu, Waziri mkuu mstaafu anakula Tena shavu? Alisahau Nini serikalini?
Ufanisi wa kijana wa miaka 30 na mzee wa miaka 70 Nani anafikiria sawasawa?
Vijana tuamke tudai katiba 50% ya teuzi ziwe za vijana under 35 years
Haiwezekani kila siku watu walewale tu mpaka wanafia madarakani
Hoja yako kidogo inafikirisha. Siyo lazima mtu mwenye umri mkubwa ampite mwenye umri mdogo kwa kila kitu. Kwa mfano huyu anaweza kuwa amesomea hiyo taaluma na ana kipaji cha kuzaliwa kwenye hiyo sehemu pia. La muhimu ni kuwateua watu kulingana na sifa, uwezo na kisomo na siyo kama tunavyofanya sisi.Angalia umri wa huyu dada halafu na elimu yake! Nakuuliza wewe na umri wako,tukikuweka pale ikulu utaweza??
Trump picks Karoline Leavitt to be youngest ever White House press secretary
Leavitt, 27, currently a spokesperson for Trump's transition, would be the youngest White House press secretary in history
Trump picks Karoline Leavitt to be youngest ever White House press secretary
At 27-years-old Karoline Leavitt would be the youngest White House press secretary in history.www.cbsnews.com
Kwani serikalini ukizengua upigwi chiniKampuni sio sirikali mzee kampuni mtu akiona unazingua anakupiga na chini nyie bado hamjafikia hapa
Okay sawa na kupa mission, angalia hao wazee waliolamba teuzi mwisho wao ukojeSema mkuu tujifunze
NimekusomaOkay sawa na kupa mission, angalia hao wazee waliolamba teuzi mwisho wao ukoje
Hizo unaziona kwa hawa vijana wa UDSM,MZUMBE,SUA,UDOM n.k?? Unatakiwa ufahamu wenzetu wana ELIMU plus MAARIFA.La muhimu ni kuwateua watu kulingana na sifa, uwezo na kisomo na siyo kama tunavyofanya sisi.