Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Nov 28, 2024 #41 enzo1988 said: Ufanisi ni kwenye kula tunda kimasihara!Full ngono plus ubabe,ushamba,ulimbukeni n.k, kwani marehemu Magufuli si aliwajaribu??Hukuwaona?? Click to expand... Bora haohao wazee, vijana ni washenzi mno. Wakipata madaraka hawana adabu wala staha, ni chawa pro max.
enzo1988 said: Ufanisi ni kwenye kula tunda kimasihara!Full ngono plus ubabe,ushamba,ulimbukeni n.k, kwani marehemu Magufuli si aliwajaribu??Hukuwaona?? Click to expand... Bora haohao wazee, vijana ni washenzi mno. Wakipata madaraka hawana adabu wala staha, ni chawa pro max.
N Namata Senior Member Joined Sep 1, 2019 Posts 139 Reaction score 173 Nov 28, 2024 #42 Wale wanalindana tu
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Nov 28, 2024 #43 technically said: Sio kweli kazi Zina Siri gani ?? Yaani mfano mtu kuwa mkurugenzi wa tbc unahitaji kuficha Siri gani ??ππππ Click to expand... Mambo ni mengi sana. Kama hujawahi kukutana na siri nzito nzito omba sana usikutane nazo.
technically said: Sio kweli kazi Zina Siri gani ?? Yaani mfano mtu kuwa mkurugenzi wa tbc unahitaji kuficha Siri gani ??ππππ Click to expand... Mambo ni mengi sana. Kama hujawahi kukutana na siri nzito nzito omba sana usikutane nazo.