Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kuna watu wanaitwa kwa kimombo 'opportunist' ama kwa kikwetu wasaka/ waotea fursa! Mfano halisi ni bashite wa Kolomije! Wao huwa hawajali kingine chochote lakini wanaweza kufanya chochote kibaya ama kizuri ili waikamatie fursa waliyoiotea
Kwa unyonge na udhaifu wa taasisi ya juu yenye mamlaka ya maamuzi makubwa kundi la waotea fursa wamelitesa sana Taifa la Tanganyika na kulisababishia hasara na madeni ya mabilioni na matrilioni
Kwa taharuki kubwa nimejaribu kuwaza ni pesa kiasi gani zimetumika kwenye vipeperushi pekee vya mgombea mmoja nchi nzima.. Ni tani ngapi za karatasi zimerumika
Kuna magari mapya ya kifahari ya wagombea 17 Kuna msafara wa magari 100+ ya mgombea wa chama tawala Achana na baiskeli na pikipiki na vingine vingi , vilivyochapishwa picha ya mgombea nknk
Imagine kama hizo pesa tungezielekeza kwenye huduma za afya pekee.. Hivi tungeokoa vifo vingapi? Na si ingekuwa ni bonge la kampeni?
Nimeyaangaalia mabango ya gharama nchi nzima.. Hivi vyote ni miradi ya watu waliopiga na kufuru...
Bado natafakari msafara wa magari 100+
Mafuta
Pdiem
Malazi
Dharura nk kwa kila watu waliokuwa kwenye hayo magari ambao kwa uchache sana hawapungui 400..
Sitaki kuandika zaidi.. Inauma na kuumiza sana!