GE2025 Hivi tatizo ni mgombea au ni chama au ni mfumo?

GE2025 Hivi tatizo ni mgombea au ni chama au ni mfumo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
downloadfile-1.jpg
 
mgombe ni tatizo, chama ni tatizo na mfumo ni tatizo.
Kuna watu wanazima data zao na kukomalia kuwa tatizo ni Rais Samia Suluhu Hassan. Na kukazia zaidi kuwa "Hatumtaki Samia" Mimi najiuliza Hivi uchaguzi ulikuwa wa haki wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli....... Je Samia ndio alikuwa anafix nyakati hizo zote. Amkeni na muelewe tatizo lilipo.
 
Back
Top Bottom