Dear Fighters Gen-Z & Millennials ambao tumewapoteza tukiwa kwenye mapambano ya kupigania Taifa letu. Nyinyi ni Mashujaa wetu, nyinyi ni fahari yetu mmepigana vita kwa machozi, jasho na damu....
Kuna watu wanazima data zao na kukomalia kuwa tatizo ni Rais Samia Suluhu Hassan. Na kukazia zaidi kuwa "Hatumtaki Samia" Mimi najiuliza Hivi uchaguzi ulikuwa wa haki wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli....... Je Samia ndio alikuwa anafix nyakati hizo zote. Amkeni na muelewe tatizo lilipo.