Hivi TBC wameona kitu cha maana cha kutuonyesha mubashara ni ufunguzi wa mahakama Chato na wala sio mkutano mkuu wa Chadema!

Hivi TBC wameona kitu cha maana cha kutuonyesha mubashara ni ufunguzi wa mahakama Chato na wala sio mkutano mkuu wa Chadema!

Unajua chanzo cha kukataa kushiriikiana na TBC?

Ni kutokana na wao TBC kuipendela mno CCM, na kuviacha vyama vya upinzani kama watoto yatima
Haijalishi, mlishatamka hamtaki kuwaona TBC kwenye event yenu yoyote, kinachowaliza saivi ni nini wakati mlishawakufukuza?
 
Umtakii mema mkurugenzi kufanya hivo ni kosa kubwa Sana sawa na uhujumu uchumi yaani kodi za wananchi ziutangaze upinzani.
 
Umtakii mema mkurugenzi kufanya hivo ni kosa kubwa Sana sawa na uhujumu uchumi yaani kodi za wananchi ziutangaze upinzani.
Sasa Mkurugenzi wa TBC afukuzwe kazi kwa kosa gani?

Kuwapa coverage iliyo sawa wananchi wake ni wajibu wake.........

Juu ya hayo ni kuwa chombo hicho cha habari kinaendeshwa kwa kodi zetu wananchi wote, wanachama wa CCM, vilevile wanachama wa Chadema

Ni makosa makubwa kwa Mkurugenzi wa TBC kuanza kufanya ubaguzi wa nani anastahili coverage na nani hastahili
 
Sasa Mkurugenzi wa TBC afukuzwe kazi kwa kosa gani?

Kuwapa coverage iliyo sawa wananchi wake ni wajibu wake.........

Juu ya hayo ni kuwa chimbo hicho cha habari kinaendeshwa kwa kodi zetu wananchi wote, wanachama wa CCM, vilevile wanachama wa Chadema

Ni makosa makubwa kwa Mkurugenzi wa TBC kuanza kufanya ubaguzi wa nani anastahili coverage na nani hastahili
Kamuulize Tido,alitaka kuleta uprofesionalism kilichompata
 
Wanalipwa mishahara,kwa kodi zetu na wala hawapewi hizo pesa toka CCM
Ubovu ni kwamba mwenye mamlaka ya mwisho anatoka kwenye hii nchi ni mwanachama wa chama tajwa, hivyo lazima wamfuate kokote aliko ili waweze kudumu katika nafasi zao walizonazo.
 
Ubovu ni kwamba mwenye mamlaka ya mwisho anatoka kwenye hii nchi ni mwanachama wa chama tajwa, hivyo lazima wamfuate kokote aliko ili waweze kudumu katika nafasi zao walizonazo.
Katiba haibagui

Kwa hiyo wanaofanya hivyo wanafanya kwa kujipendekeza na hata wakifanya kazi kwa weledi hawawezi fanywa chochote na watawala wa CCM
 
wangethubutu kufanya hivyo, leo hii mkurugenzi wao angekuwa ndani pamoja na kupoteza kibarua
Dr Rioba mkurugenzi mkuu wa TBC bado anayo kumbukumbu ya kutumbuliwa kwa Mhando hivyo hawezi kufanya kosa hilo.
 
Tunavyofahamu ni kuwa chombo cha habari cha TBC ni cha Watanzania wote na kinagharamiwa uendeshaji wake na kodi za wananchi wote, wana CCM na wana Chadema.

Kwa hiyo ni wajibu wa Mkurugenzi wa TBC, Ayoub Rioba, kuangalia ni kitu gani kina umuhimu mkubwa kwa Taifa na kukionyesha mubashara bila upendeleo wowote.

Vile vile Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1877, ibara ya 3(1( ) inatamka wazi kuwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itakuwa nchi ya kidemokrasia na ni ya mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu.

Ndipo hapo ninapomuuliza Mkurugenzi wa TBC, ni kwanini waliamua kuonyesha tukio dogo la ufunguzi wa mahakama ya wilaya ya Chato na kuacha kuonyesha mubashara, tukio lenye umuhimu mkubwa kwa Taifa hili la mkutano mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema?

Tunajua pia TBC sio chombo cha habari cha CCM, na ni cha Taifa zima, kwa hiyo kufanya upendeleo kwa matukio yoyote ya ki-CCM ni makosa makubwa

Naomba mwenye kuelewa umuhimu wa TBC kuonyesha kila tukio analofanya Rais kwenye nchi hii lionyeshwe mubashara, na kutoweza kuonyesha matukio mengine yenye umuhumu mkubwa sana kwa Taifa hili aweze kunijibu.
"katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1877"
 
Alipo na anachofanya Rais ndio tukio kubwa, mengine yote ni tafsiri yako. Hata kama kamati kuu ya chama fulani wakiamua kufanya mkutano bila nguo hadharani bado hilo sio tukio kubwa kama upande mwingine kuna tukio la Rais. Labda iwe tukio kubwa la maafa.
Ndio maana Trump alipoenda kuangalia mechi ya mixed martial arts hiyo ndio ilikuwa tukio kubwa.Sijapanga mimi lakini usije ukaniua.
 
Miradi ya serikali wanailaunch tusiangalie, tuangalie mkutano ambao watu wanazomeana.... Kuna watu wana shida sana
 
Back
Top Bottom