Hivi TBS hawaoni hizi charger fake za simu zinazolipuka kila siku?

Ina stuck balaa...nimeitumia less than a year
Nimetumia Nokia 7.1 lakini sikuona shida hiyo isipokuwa ilikuwa inakufa mara kwa mara port ya USB/Charging hadi ikawa kero...

Umewahi jaribu kufanya software updates zote?
 
Sijawahi. Ya Kwanza ilikufa sehemu ya kuweka simcard ndani ya miezi miwili,simu mpya kabisa ikabidi card iwe supported na vikaratasi. Ya pili ndio hii ina stuck balaa.
Nanunua kwenye duka la mtandao mkubwa WA simu mpaka nahisi isije kuwa wanapewa reject na manufacturers.
 
Au pia isijekuwa wanauza refurbished...
 
Sijawahi. Ya Kwanza ilikufa sehemu ya kuweka simcard ndani ya miezi miwili,simu mpya kabisa ikabidi card iwe supported na vikaratasi. Ya pili ndio hii ina stuck balaa.
Nanunua kwenye duka la mtandao mkubwa WA simu mpaka nahisi isije kuwa wanapewa reject na manufacturers.
Nokia ilikuwa zamani sasa hivi ni taka taka.
Nimetumia simu nyingi kiasi hasa Htc ndizo nimetumia muda mrefu.
Lakini kwasasa nimezama kwa Samsung A series ni simu bora kabisa na zinadumu na chaji kuliko matoleo mengine ya samsung.
 
Toka nimeanza kutumia charger za simu sijui ni ngapi zimepiga shoti. Kamoja nilinunua tu na kukaweka kwa mara ya kwanza kakapiga shoti. Katika vitu fake vingi ni hizi charger na USB cable.

TBS hebu fuatilieni hili suala. Watu watakuwa wanaunguza majengo kumbe shida ipo hapa kwenye charger zisizoeleweka.
Wao wanaangalia sabuni za jaribu na vipodozi vingine , huko kwenye umeme thubutu !
 
TBS hawafanyi kazi yao ipasavyo.
Ila wakiamua kukaza wananchi ndio wataumia
 
Toka nimeanza kutumia charger za simu sijui ni ngapi zimepiga shoti. Kamoja nilinunua tu na kukaweka kwa mara ya kwanza kakapiga shoti. Katika vitu fake vingi ni hizi charger na USB cable.

TBS hebu fuatilieni hili suala. Watu watakuwa wanaunguza majengo kumbe shida ipo hapa kwenye charger zisizoeleweka.
Memory card +frash fake
 
Hata hizo charger wanazoita OG ni utopolo tu, nimeshawahi kununua charger ya samsung walisema ni super fast charger 70,000/= na ililipuka ndani ya masaa matatu nikiwa na charge simu hiyo ni baada ya kusumbuliwa na adaptive charger ya Samsung (45,000)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Boss uko vizur unanunua chaji bei ya simu. NA simu c utakua unanunua bei ya gari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nokia ilikuwa zamani sasa hivi ni taka taka.
Nimetumia simu nyingi kiasi hasa Htc ndizo nimetumia muda mrefu.
Lakini kwasasa nimezama kwa Samsung A series ni simu bora kabisa na zinadumu na chaji kuliko matoleo mengine ya samsung.
Sure ka A21s nakaa nayo siku mbili na DATA sizimi
 
Kwa TBS kuzuia fake ni sawa na kusema mtu azuie mafuriko.
 
Hata hizo charger wanazoita OG ni utopolo tu, nimeshawahi kununua charger ya samsung walisema ni super fast charger 70,000/= na ililipuka ndani ya masaa matatu nikiwa na charge simu hiyo ni baada ya kusumbuliwa na adaptive charger ya Samsung (45,000)
Chaja zipo og nzur tu ,sema una bahat mbaya,km hiyo oraimo iko poa Tena ni 15 tu mpaka 10 bei yake,nazingine nying tu yakupasa uwe na jicho la ziada kwny kuchagua ununue charger ipi? charger za Samsung nying ni fake labda iwe umeipata pind ulivonunua cm lakin baada nying huwa ni fake
 
Toka nimeanza kutumia charger za simu sijui ni ngapi zimepiga shoti. Kamoja nilinunua tu na kukaweka kwa mara ya kwanza kakapiga shoti. Katika vitu fake vingi ni hizi charger na USB cable.

TBS hebu fuatilieni hili suala. Watu watakuwa wanaunguza majengo kumbe shida ipo hapa kwenye charger zisizoeleweka.
Acha kununua vitu vya bei nafuu. Tazama ubora kwanza....
 
Back
Top Bottom