ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Hivi ninyi Team Kiba mbona mna chuki sana iliyopitiliza kwa Diamond? Mimi nashangaa sijui dogo wa watu kawakosea nini. Watanzania huwa tuna wivu sana kuona mtu ana mafanikio. Wivu haujengi kama hautautumia kufanya kazi kwa bidii ili nawe ufanikiwe.
Kila anachofanya Diamond kwenu ni kibaya na dhambi, mlitaka afanyaje ili mridhike? Mbona mashabiki wa Diamond hawamchukii Alikiba, au mnadhani Diamond akifulia basi automaticaly Kiba ndo atachukua nafasi yake? Hii mambo inawaharibia hadi wasanii wengine wanaonekana hawana mana bali ni Ali kiba na Diamond ndo wenye maana. Kucha kutwa kumwaga povu juu ya Diamond.
Nyie mkimuona mtu anakosa pesa ya kula ndo mnafurahi, uchawi huo.