Hivi team Kiba kwanini mnamchukia Diamond kupita kiasi?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Hivi ninyi Team Kiba mbona mna chuki sana iliyopitiliza kwa Diamond? Mimi nashangaa sijui dogo wa watu kawakosea nini. Watanzania huwa tuna wivu sana kuona mtu ana mafanikio. Wivu haujengi kama hautautumia kufanya kazi kwa bidii ili nawe ufanikiwe.

Kila anachofanya Diamond kwenu ni kibaya na dhambi, mlitaka afanyaje ili mridhike? Mbona mashabiki wa Diamond hawamchukii Alikiba, au mnadhani Diamond akifulia basi automaticaly Kiba ndo atachukua nafasi yake? Hii mambo inawaharibia hadi wasanii wengine wanaonekana hawana mana bali ni Ali kiba na Diamond ndo wenye maana. Kucha kutwa kumwaga povu juu ya Diamond.

Nyie mkimuona mtu anakosa pesa ya kula ndo mnafurahi, uchawi huo.
 
Wanatembelea nyota ya Diamond, wanaamini bila bifu hawaonekani.
 
hilo swali lina apply both sides yan kama kuuliza kwann shabiki wa simba anaichukia yanga kupita kiasi? ni sawa na kuuliza kwanin shabiki wa yanga anaichukia simba kupita kiasi?. Therefore;

kwanin shabik wa domo wanamchukia kiba kupita kiasi? Then kila shabiki atatoa sababu zake za kuchukia
 
Nyie ndo mnaongoza maana adi kwenye show mnabebaga makopo ya mikojo na kujiandaa kumzomea domo pind kiba na domo kama wamepangwa kuperform kwny show moja so inadhihirisha ni kiasi gani mna chuki
 
hilo swali lina apply both sides yan kama kuuliza kwann shabiki wa simba anaichukia yanga kupita kiasi? ni sawa na kuuliza kwanin shabiki wa yanga anaichukia simba kupita kiasi?. Therefore;

kwanin shabik wa domo wanamchukia kiba kupita kiasi? Then kila shabiki atatoa sababu zake za kuchukia
Mleta mada, embu soma hii post ya GREENER hapa, imejitosheleza kwa jibu lako
 
Hakuna anaemchukia Diamond mnajishtukia tu team Diamond ila wote acheni kujiona mpo juu hicho ndicho kinachokera
 
Hizi timu siku moja zitazua balaa kubwa na wengi zitawaponza wakayi Diomond na Kiba watakuwa shwariii!!
 
Na ukitaka kujua wapo kishali angalia ata iz tuzo za eatvaward hawazishobokei coz domo alizipga chini so automatically zimekosa kiki lkn kama domo angekuwemo ungejua sasa wangekuwa wanakesha wanapiga kura
Ndiyo wajue hao mashabiki wa Kiba no Diamond no Kiba.
 
Wakiulizwa kwanini unamchukia hoja itakayokuja alimdhalilisha wema..
Kua team kiba haimaanishi ndo umchukie mondi na hii team kiba mitandaon haina muda mrefu sana. Hii team ilianza wema alivyoachana na mondi na team yake ndio ikamia kwa kiba kwamba ukiwa team wema lazima uwe team kiba.
Hlf unakuta mtu anamtukana mondi mtandaoni halafu magetoni kaweka wimbo wa mondi tena na repeat juu.
 
Hawaamini katika kuunda Diamond na Alikiba wawili, wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili
 
Back
Top Bottom