Hivi team Kiba kwanini mnamchukia Diamond kupita kiasi?

Wanaelewa vizuri sana tu sema kiburi kimewajaa
 
These teams are playing each other. Both of them are trying to play victim of hatred of the other.
 
Waambie Dada zao KARIAKOO waje ulaya...
Wakiposti TEMBO sisi tunapost SHOW...maneno ya chibu dangoteee afu kiba hajajibu sielewi Nani ana chuki au anamfatafata mwenzie au anatafta kiki kuandikwa magazetini hahahahaaaaa itbaki hivi ALIKIBA NI MWANAMUZIKI MZURI, DIAMOND NI MTUMBUIZAJI MZURI..mashabiki wote wa timu hizi mbili hakuna anayempenda msanii wa upande mwingine OVA.
 
Naona povu limekutoka tena la sabuni za kupima. inshort hapo hakuna chuki ni upinzani tu kati ya mashabiki. ni sawa kama simba na yanga. yanga ata ilete kombe la dunia mbele ya mshabiki wa simba ni sawa na kazi bure.
Usifananishe mashabiki wa simba na yanga na vitu vyakijinga
 
Wanaona Domo ana mafanikio kuliko wao na kiongozi wao Kiba, so lazma waone wivu na chuki waswahili ndio kawaida yao
 
Kizuri kikikosekana hata kibaya huonekana kizuri

Diamond hajafikia level zng labda umufananishe na Abdul kiba

Kama ni kiti basi kilikuwa na vumbi tu mm nimerudi kufuta na kukaa tena na kama tupo kwenye siti labda yeye back seat
Ni baadhi ya kauli ambazo kiba alizitoa kumkashifu domo lkn domo hakumjibu akapiga kimy
 
Asilimia kubwa wanaomchukia ni masikini wakutupa hana kazi ya maana zaidi ya majungu na matusi mitandaoni wana mchukia mond coz sio level zao, mond mpenda mafanikio na ku hustle wanaomchukia diamond ni masikin wakutupwa omba omba na wapiga dili uchwara wasiojua future zao na bundle za kuunga unga walihongwa buku mbili mbili na kibakuli za viroba wakaenda mfanyia fujo mond fiesta ile ilopita mwakajuz over!
 
kama mnampenda huo ni uamuzi wenu ila kuweni wastaarabu isiwe kero kwa wengine siyo lazima tumpende au tumchukie.... you can't tell us what to do tupo busy na mambo ya msingi
 
Diamond amewafanya mmekuwa machizi ht kazi hamfanyi mwenzenu anaingiza hela nyie hata chai hamjanywa mnawaza kubishana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…