Hivi teknolojia ya video haiwezi kumaliza utata wa mechi ya Simba na kagera?

Mkuu huwezi kujenga hoja bila kutumia lugha za kuudhi, anyway muda utaongea
 
Yaani Simba walijua mapema? Siyo bure utakua mganga wa kienyeji wewe!
 
Mambo mengine ni aibu kweli kweli wanaume kushobokea. UMEPIGWA 2-1 uwanjani, unaanza ngonjera za kadi za manjano sijui kliniki sababu ya mimba ya katerero.

Jifunzeni kucheza mpira, punguzeni mdomo. Yanga haijaanza kubeba makombe leo. Imebeba ndani ya nchi na imewahi kufanya hivyo nje ya nchi. Shida ya Simba ni UMAMA WA NYUMBANI na mdomo.

Nendeni FIFA mkaombe poo
 
Mheshimiwa Ismail Aden Rage ndio anawafahamu Simba vizuri...yaani mtu ukong'otwe 2 uwanjani unaanza kulialia. Kagera Sugar walicheza 12 uwanjani?

Siku Yanga wakianza kuwa timu demu-demu kama hivi nahamia Ndanda
 
Mie simba Dam dam
lakini suala la kulilia Ubimgwa wa mezani ni upuuzi
kwanini tulifungwa!?
Kwani wao waliongezeka uwanjani
 
Mkuu ungeweza kutumia lugha ya staha na ujumbe wako ungeeleweka vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…