TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau..!
Siku za nyuma nilikuwa kama naona nafasi za kujiunga usalama wa Taifa zikitangazwa sijuhi ni kweli au zilikuwa feki?
Je hawa TISS ni vigezo gani vinavyotumika mpaka mtu akaajiriwa ,maana baada ya kutafuta ajira za binafsi nikaona zinazingua ss nataka nijiunge na TISS nikamalizie maisha yaliyobaki huko maana bora kufa ukitetea Taifa lako kuliko kufa kutaabika kwa kumnufaisha mhindi.