TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
usnitch una msnitch nani?Usnitch unauweza?
Una maana ndani ya miaka 10-15 taratibu zimebadilika za recruitment ?Kazi ya usalama wa taifa inatakiwa ikutafute na siyo uitafute wewe!
Nakiri kuwa kwa Sasa tuna idara mbovu Sana ya usalama wa taifa.
Kuchukua vijana walioko JKT na kuwaingiza TISS Ni kosa kubwa Sana, hao wanatakiwa waendelee JWTZ na Police +magereza na idara za kiraia nyinginezo.
It's a paradoxical puzzle, kila siku taarifa nyeti zinavuja na kuzagaa mitandaoni bila mpangilio.
mi nadhani kutanifaa sana.KAMA UNAPENDA UTUMWA NENDA HUKO.
Vigezo vinavyoangaliwa ni vingi sana, lakini, kigezo kikubwa kuliko vyote ni IQ.Habari wadau..!
Siku za nyuma nilikuwa kama naona nafasi za kujiunga usalama wa Taifa zikitangazwa sijuhi ni kweli au zilikuwa feki?
Je hawa TISS ni vigezo gani vinavyotumika mpaka mtu akaajiriwa ,maana baada ya kutafuta ajira za binafsi nikaona zinazingua ss nataka nijiunge na TISS nikamalizie maisha yaliyobaki huko maana bora kufa ukitetea Taifa lako kuliko kutaabika kwa kumnufaisha mhindi.
Ujuzi ninao,pia ni kada mwadilifu ,IQ sijawahi pima ninayo ngapi ila hata kwenye IQ sina shaka napo.ZAMANI, walikuwa wanachukua katika Makundi haya;
1. Waseminari
2. Skauti
3. Watu wenye ujuzi Fulani.
NB:
Pamoja na Makundi hayo yote ilikuwa ni lazima uwe na IQ KUBWA na uwezo Mkubwa pia wa KUTUNZA SIRI.
SIKU HIZI, wanaangalia sifa zifuatazo;
1. Mtoto wa WAZIRI.
2. Mtoto wa Mbunge.
3. Mtoto wa MTU yeyote anayefanya KAZI katika vyombo vya usalama.
4. Kada au Mtoto wa Kada wa CCM.
5. Yeyote anaye jipendekeza katika hayo Makundi kama familia yenu haijulikani na Siyo Kati ya hayo Makundi tajwa.
NB.
Hapa kigezo cha IQ na KUTUNZA SIRI tupa kule.
Wanahitaji IQ ya ngapi?Vigezo vinavyoangaliwa ni vingi sana, lakini, kigezo kikubwa kuliko vyote ni IQ.
TISS hawatangazi mass employment Kama JWTZ au police na magereza.Una maana ndani ya miaka 10-15 taratibu zimebadilika za recruitment ?
Maaana nilishawai kuona kama matangazo yao ya kazi zamani au ni fake kidogo ss hv sioni kabisa hata PCCB nao sioni wakitangaza nafasi nao.
Imekuwa ya hovyo sana nowday.. Sasa hivi ni undugu sijui urafiki yaani imekuwa ya hovyo sana Diwani anatakiwa ajitadhiminiKazi ya usalama wa taifa inatakiwa ikutafute na siyo uitafute wewe!
Nakiri kuwa kwa Sasa tuna idara mbovu Sana ya usalama wa taifa.
Kuchukua vijana walioko JKT na kuwaingiza TISS Ni kosa kubwa Sana, hao wanatakiwa waendelee JWTZ na Police +magereza na idara za kiraia nyinginezo.
It's a paradoxical puzzle, kila siku taarifa nyeti zinavuja na kuzagaa mitandaoni bila mpangilio.
Sawa !TISS hawatangazi mass employment Kama JWTZ au police na magereza.
Kwa Sasa hawafanyi vetting Kama zamani, wanachukulia vijana JKT.
PCCB Ni tawi dogo la TISS ( namaanisha kuwa watumishi wengi wa PCCB Ni wa upande wa pili)
Wanatakiwa kusitisha ajira holela kwa miaka japo miwili, then waanze kitumia vetting.Imekuwa ya hovyo sana nowday.. Sasa hivi ni undugu sijui urafiki yaani imekuwa ya hovyo sana Diwani anatakiwa ajitadhimini
Above average to moderately gifted, that is to say from 115 onwards.Wanahitaji IQ ya ngapi?
Una maana ndani ya miaka 10-15 taratibu zimebadilika za recruitment ?
Maaana nilishawai kuona kama matangazo yao ya kazi zamani au ni fake kidogo ss hv sioni kabisa hata PCCB nao sioni wakitangaza nafasi nao.
How do they measure IQ?Above average to moderately gifted, that is to say from 115 onwards.
Kazi ya usalama wa taifa inatakiwa ikutafute na siyo uitafute wewe!
Nakiri kuwa kwa Sasa tuna idara mbovu Sana ya usalama wa taifa.
Kuchukua vijana walioko JKT na kuwaingiza TISS Ni kosa kubwa Sana, hao wanatakiwa waendelee JWTZ na Police +magereza na idara za kiraia nyinginezo.
It's a paradoxical puzzle, kila siku taarifa nyeti zinavuja na kuzagaa mitandaoni bila mpangilio.
UVCCM HAOHabari wadau..!
Siku za nyuma nilikuwa kama naona nafasi za kujiunga usalama wa Taifa zikitangazwa sijuhi ni kweli au zilikuwa feki?
Je hawa TISS ni vigezo gani vinavyotumika mpaka mtu akaajiriwa ,maana baada ya kutafuta ajira za binafsi nikaona zinazingua ss nataka nijiunge na TISS nikamalizie maisha yaliyobaki huko maana bora kufa ukitetea Taifa lako kuliko kufa kutaabika kwa kumnufaisha mhindi.