Hivi TISS wanatumia vigezo gani kuajiri?

Umeongea vizuri sana kasoro hiyo aya ya mwisho. Njia ya kuzuia kuvuja kwa taarifa ni kuwapa wananchi taarifa juu ya yale yanaoendelea kwenye taifa lao.
Sizungumzii mambo madogo Kama taarifa za kuumwa Rais, nazungumzia mambo mengine yanayopaswa kubaki "jikoni" na siyo kuzagaa mitaani!

Kiongozi wetu (waziri mkuu ) alifeli Sana, Ila haya yote Ni kutokana na mfumo mbovu wa TISS.
 
Hata kama walikua wanakufwatilia wakiona hii posti zoezi linaishia hapa.
 
Siku ukiamua kutoka kwenye hiyo kazi basi inabidi ukimbie nchi kama Chahali ukijifanya utulie nchini basi lazima uokotwe kwenye mtaro ,kisima au ajali ya bodaboda.(M.A.P Ulomi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…