Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utu ni utu na ubinadamu kazi.Mfano mwenzio anaweza kwambia hebu kuwa na utu au kuwa na ubinadamu.
Hivi huwa wana maanisha nn?
Siyo kweliChanzo cha maneno haya ni;
Mtu » utu
Binadamu » ubinadamu
Yote yana maana moja kumaanisha USTAARABU NA HEKIMA kwasababu asiri ya mtu au binadamu ni MUNGU aliyetuumba na hekima na ustaarabu.
Ndugu zangu Kadri mnavyozidi kunielezea ndio mnazidi kunichanganya😄Siyo kweli
Binadam linatokana na Bin-Adam yaani mtoto wa Adam kulingana na maandiko ya kimapokeo kutoka mataifa ya magharibi na Mtu linatokana na U-mntu yaani mtoto wa Mntu kulingana na asili ya Kibantu ya watu wa Afrika