Hivi tozo kwenye miamala ya simu bado mpaka leo?

Hivi tozo kwenye miamala ya simu bado mpaka leo?

Dr PL

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2024
Posts
327
Reaction score
537
1738434804077.jpg


Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa.
Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk.




Au zimerudishwa tena?

Naomba tujulishane.
 
Mwigulu atalipiaje ada wanae hapo Feza kama hukutozwa tozo?au sa100 hela za kununua magoli na kutoa rambirambi kwa masheikh wakifa atatoa wapi?
 
Kwenye bank ipo, wanapiga sana jamaa.
 
Back
Top Bottom