johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nataka kupungia mikono wanavijiji bwashee!We kapande kilimanjaro Bus
Hahahaaaa........kwahiyo na treni imekufa?!Ile ilikuwa janja ya jini jiwe kujivika umaarufu. Shetani yule alikuwa na akili ya kifutuhi sana
Ndio naulizia bwashee.Hiv ilisitisha safar?
Imekufa siku nyingi mkuuHahahaaaa........kwahiyo na treni imekufa?!
Kwanini bwashee?Ila John wewe ni bonge LA mnafiki
Huwa naiona pale kwa mnyamani!Anayejua treni ya Mwakyembe inapita route zipi mjini Daresalama anijuze tafadhali
Hahahaaaa...... Nauli nafuu bwashee.Haha hahah....unanikumbusha wakina Mangi na Manka walivyofurika na kuligombea kama Waha na wamanyema wa Kigoma!
Halafu Polepole anafundisha shule ya Uongozi kama ameshindwa kuisimamia hii route moja tu ya Dar Moshi ataweza kuaminika kufundisha watu uongozi. Pia aulizwe na SABAYA.Nauliza kwa wale abiria wenzangu wa Tanga Moshi Arusha ile treni yetu iliyozinduliwa na mh Polepole ( MB ) bado ipo?
Naomba majibu Tafadhali huu ni wakati wa kujipanga December imekaribia.
Sabato njema!
Habari za Polepole kamuulize yeye mwenyewe au sukuma gang wenzenuNauliza kwa wale abiria wenzangu wa Tanga Moshi Arusha ile treni yetu iliyozinduliwa na mh Polepole ( MB ) bado ipo?
Naomba majibu Tafadhali huu ni wakati wa kujipanga December imekaribia.
Sabato njema!
Sasa hivi kwiiishaaaaaIle ilikuwa janja ya jini jiwe kujivika umaarufu. Shetani yule alikuwa na akili ya kifutuhi sana
Kisicho na mwenyewe ni cha kuokota bwashee!Ila jiwe apumzike huko aliko eti vichwa vya tren vikaokotwa TZ vituko ni vingi sana