Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Treni ina vibrate hata kunywa maji abiria hawawezi !Nauliza kwa wale abiria wenzangu wa Tanga Moshi Arusha ile treni yetu iliyozinduliwa na mh Polepole ( MB ) bado ipo?
Naomba majibu Tafadhali huu ni wakati wa kujipanga December imekaribia.
Sabato njema!
Vichwa na mabehewa yale ya kigomaNi kweli maana treni yenyewe haikuwepo. Walikuwa wanapanda ungo.( akili za watanzania wenzetu wengine bwana utadhani walizaliwa kwenye vyoo vya sokoni)
Ni rahisi kufikisha ujumbe kwenye magroup yenu kuliko humu sababu hizo nonsense hatupendi kuzisikiaHata humu Polepole yumo!
Yalinunuliwa na watu wa kigoma au yana chapa maalum ya kigoma? Kwani ndege inayofanya route ya mwanza haiwezi kufanya na route ya mbeya.?Vichwa na mabehewa yale ya kigoma
Alafu mkazinunua,sasa pesa mlimpa nani au ndo ziliingia mfukoni mwa jiweKisicho na mwenyewe ni cha kuokota bwashee!
Imekufa kitambo Sana treni ya mchongoHuwa naiona pale kwa mnyamani!
Ndio umeshazisikia!Ni rahisi kufikisha ujumbe kwenye magroup yenu kuliko humu sababu hizo nonsense hatupendi kuzisikia
Alitaka kututoa kafara ile reli ni mbovu sanaIle ilikuwa janja ya jini jiwe kujivika umaarufu. Shetani yule alikuwa na akili ya kifutuhi sana
Si uko naye karibu huko bwashehNauliza kwa wale abiria wenzangu wa Tanga Moshi Arusha ile treni yetu iliyozinduliwa na mh Polepole ( MB ) bado ipo?
Naomba majibu Tafadhali huu ni wakati wa kujipanga December imekaribia.
Sabato njema!
Nimeshajulishwa ipo Jumanne na Jumamosi!Si uko naye karibu huko bwasheh
Kwanini usimulize au unaogopa makelebu 😂
Ova
Sasa hivi kwiiishaaaaa
Nani huyo unamzungumzia?Bado anaendelea kuishi, ndiyo maana mnamjadili.
Ahsante bwashee!Treni bado ipo na inafanya kazi.
Bwasheeeeee ngoma bado ipo aseeeeNauliza kwa wale abiria wenzangu wa Tanga Moshi Arusha ile treni yetu iliyozinduliwa na Mh Polepole (MB) bado ipo?
Naomba majibu Tafadhali huu ni wakati wa kujipanga December imekaribia.
Sabato njema!
Afadhali bwashee!Bwasheeeeee ngoma bado ipo aseeee
Wameviokota halafu wakavinunua[emoji1787][emoji1787] pesa za ununuzi alipokea wap hicho ndo kitendawili hadi leo..lakini serikali ilitoa bajet ikavinunuaIla jiwe apumzike huko aliko eti vichwa vya tren vikaokotwa TZ vituko ni vingi sana
Wahi tuu bwasheeeAfadhali bwashee!
We ndio futuhiIle ilikuwa janja ya jini jiwe kujivika umaarufu. Shetani yule alikuwa na akili ya kifutuhi sana