Boss bora were umesema!!Maana watanzania wengi ni wanafiki na hii haipendezi kwa kweli!!Nchi hii ni yetu sote na kama kuna kizuri serikali imefanya,basi unaipongeza na siyo kutoa taarifa za uongo!!Hili in jukwaa LA kujadili mambo yenye uzito kwenye jamii yetu katika hali ya ukweli na uhakikisho na sio kupeana taarifa zisizo kweli!!!Mbona ipo
Duuuh,kumbe hamna TenaImekufa siku nyingi mkuu
Utakuwa akili yako ndogo kama ya Ndugai. Hata daladala na mabasi yana route zake. Tajiri akiwa na mabasi 3 ameyasajili route ya Dar - Mwanza hakuna namna ukayaona njia ya Tanga -BukobaYalinunuliwa na watu wa kigoma au yana chapa maalum ya kigoma? Kwani ndege inayofanya route ya mwanza haiwezi kufanya na route ya mbeya.?
Jini jiwe ndiyo futuhi. Cheki anavyoaibishwa na aliyekuwa makamu wakeWe ndio futuhi
Kumbe imekuuma MATAGA buku 7?Kwani ameku tag au umelazimishwa ku comment kama hujui Kaa kimya sio ulete ukiazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ile ilikuwa janja ya jini jiwe kujivika umaarufu. Shetani yule alikuwa na akili ya kifutuhi sana
Ile treni likuwa futuhiDuuuh,kumbe hamna Tena
Naona hamna posho za kusifia siku hizi mna akili za kuhoji zamani ilikua kusifia kuhoji ilikua ni dhambiNdio umeshazisikia!
Kwa hiyo hadi yanakufa hayawezi kubadilishiwa route? We kweli boya la maji ya mavi.Utakuwa akili yako ndogo kama ya Ndugai. Hata daladala na mabasi yana route zake. Tajiri akiwa na mabasi 3 ameyasajili route ya Dar - Mwanza hakuna namna ukayaona njia ya Tanga -Bukoba
Ni kweli anaaibishwa na aliyekuwa makamu wake maana kwa sasa rushwa imerudi, uwajibikaji wa uma hakuna tena, usimamizi wa pesa ya walipa kodi haueleweki, umeme ni mgao, maji ni mgao, miradi imesimama. Kweli Jiwe anaaibika.Jini jiwe ndiyo futuhi. Cheki anavyoaibishwa na aliyekuwa makamu wake
AiseeeeIle ilikuwa janja ya jini jiwe kujivika umaarufu. Shetani yule alikuwa na akili ya kifutuhi sana
Treni ya Tazara na Buguruni wapi na wapi BwasheeHuwa naiona pale kwa mnyamani!
Yale hayakubadilishwa ndiyo maana yamerudishwa reli ya Kati. Jiwe alikuwa shetaniKwa hiyo hadi yanakufa hayawezi kubadilishiwa route? We kweli boya la maji ya mavi.
Siyo kama unavyojaribu kumpamba jiwe. Aibu ya jiwe ni kufanya mambo ya kiinimacho kwa kutaka sifaNi kweli anaaibishwa na aliyekuwa makamu wake maana kwa sasa rushwa imerudi, uwajibikaji wa uma hakuna tena, usimamizi wa pesa ya walipa kodi haueleweki, umeme ni mgao, maji ni mgao, miradi imesimama. Kweli Jiwe anaaibika.