Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Jeshi na intelligence hovyo kabisa itampata aje kwani hujasikia kisingizio ati alitekwa na Wakenya?
unaandika pumba tu, exchange rate ya Korean won kwa usd ni 1000 to 1 yani two billions za Mo ni zaidi ya 2 trillion Korean won. Sasa kwa msuli wa Korea mna udole wa kuwadhihaki? Au kuambiwa ni 100 ksh to 1$ mnajiona mna uchumi mkubwa?Nimetazama BBC si kitambo kuhusu taarifa ya kutekwa nyara kwa mwanabishara maarufu kule bongo...Naskia familia ya Trillionaire huyu wameamua kutoa $430,000 ili aachiliwe salama...Ni hatari sana jamaa kama huyu anapotekwa mchana peupe..
hivi una akili wewe kima?π³π mambo ya exchange rate mara korean won nimetaja wapi jameniπππau unjishuku?unaandika pumba tu, exchange rate ya Korean won kwa usd ni 1000 to 1 yani two billions za Mo ni zaidi ya 2 trillion Korean won. Sasa kwa msuli wa Korea mna udole wa kuwadhihaki? Au kuambiwa ni 100 ksh to 1$ mnajiona mna uchumi mkubwa?
unaandika pumba tu, exchange rate ya Korean won kwa usd ni 1000 to 1 yani two billions za Mo ni zaidi ya 2 trillion Korean won. Sasa kwa msuli wa Korea mna udole wa kuwadhihaki? Au kuambiwa ni 100 ksh to 1$ mnajiona mna uchumi mkubwa?
πππKorea wana viwanda vyao, hivyo sarafu yao haipigwi vita na za nje, nyie mnaagiza hata sindano peza zenu madafu leo mnataka mjilinganishe na Wajapan....bure kabisa.
Jeshi na intelligence hovyo kabisa itampata aje kwani hujasikia kisingizio ati alitekwa na Wakenya?
View attachment 903209View attachment 903212familia ya huyu jamaa wangefanya kuandika intelligent agencies ya Kenya au ya ng'ambo...hawa bongolala tu vichwa maembe
Siwaelewi hawa majamaa yani ni kama watu akili punguani kupitia mind control.Ukiona wanaelekeza kidole Kenya tayari wamshindwa, hehehe Tanzania huwa nchi ya ajabu sana, yaani ni rahisi sana kuwapumbaza raia wake, ukishindwa kitu itaje tu Kenya, wote wataelekeza pua Kenya na kukuacha.
ulikua hujui kua kudhihaki 1 billion Tzs ni upumbavu being of almost the same value as Samsung manufacturers. Its sounded like a few shs to you et eh? Huna akili, 1 billion tzs sio pesa unaweza kuidhihaki kwa ku-convert into usd. Thats the amount your government received as food aid from China.hivi una akili wewe kima?π³π mambo ya exchange rate mara korean won nimetaja wapi jameniπππau unjishuku?
View attachment 903209View attachment 903212familia ya huyu jamaa wangefanya kuandika intelligent agencies ya Kenya au ya ng'ambo...hawa bongolala tu vichwa maembe
ujinga ni kufikiri kwamba kwakua ksh ni 100 to 1 kwa usd basi ni bora zaidi na ni sahihi kudhihaki tzs, converting 1 billion tzs to usd was a mistake. It should have read 1billion tzs.Korea wana viwanda vyao, hivyo sarafu yao haipigwi vita na za nje, nyie mnaagiza hata sindano pesa zenu madafu leo mnataka mjilinganishe na Wajapan....bure kabisa.
wewe maembe nikama umekunywa konyagi leoπππmimi sjataja popote kuhusu exchange rate mara billion tzs, mara usd..habari ipo pale juu simple and clear...kwanza ipo kwa kiswahili...au niandike kwa kisukuma?πππila ukitaka tuzungumzie exchange bado naweza nikazungumzia....ni nani hajuiu kuwa tzs ni hela madafu...ulikua hujui kua kudhihaki 1 billion Tzs ni upumbavu being of almost the same value as Samsung manufacturers. Its sounded like a few shs to you et eh? Huna akili, 1 billion tzs sio pesa unaweza kuidhihaki kwa ku-convert into usd. Thats the amount your government received as food aid from China.
umenkumbusha wale jamaa wa majimaji waliojipaka maji kuzuia risasiπππyaani mtz sijui ni nani alimrogaSasa wanasingizia wakenya. Mimi kama mkenya nilipanda daladala lini nikawahi bongo kuteka huyu mtu? Akili majimaji rebellion
acha upuuzi, the family said it will give 1 tzs billion we hiyo ya usd umeipata wapi? I saw what BBC wrote as well, it wasn't anything less that 1 billion tzs. You converted it yourselfwewe maembe nikama umekunywa konyagi leoπππmimi sjataja popote kuhusu exchange rate mara billion tzs, mara usd..habari ipo pale juu simple and clear...kwanza ipo kwa kiswahili...au niandike kwa kisukuma?πππila ukitaka tuzungumzie exchange bado naweza nikazungumzia....ni nani hajuiu kuwa tzs ni hela madafu...
smh...so ulitaka niandike kwa tzs au??ππhaya mimi tzs siitambui maana mimi mkenya...ndio maana nikaandika kwa dola za marekani...hela ambazo sote tutaelewa kiasi chake maana usd ni universal currencyπππcomprende? mbona unawashwa washwa hivi?acha upuuzi, the family said it will give 1 tzs billion we hiyo ya usd umeipata wapi? I saw what BBC wrote as well, it wasn't anything less that 1 billion tzs. You converted it yourself
Wewe Nyang'au mbona unachemka sana!? Nini mbaya!!smh...so ulitaka niandike kwa tzs au??ππhaya mimi tzs siitambui maana mimi mkenya...ndio maana nikaandika kwa dola za marekani...hela ambazo sote tutaelewa kiasi chake maana usd ni universal currencyπππcomprende? mbona unawashwa washwa hivi?
Kumcheka nani wewe kima?Wewe Nyang'au mbona unachemka sana!? Nini mbaya!!
unauliza au unajibu? tuulizni tuwaazime intelligence agency mwone trilionea akirudishwa nyumbani salama na watekaji wakikamatwa mara moja...Kwani kenya nanyinyi mna intelliget agencies???