Hivi trillionaire wa Bongo aliyepotea amepatikana au la?

Jay456watt

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
10,356
Reaction score
7,992
Nimetazama BBC si kitambo kuhusu taarifa ya kutekwa nyara kwa mwanabishara maarufu kule bongo...Naskia familia ya Trillionaire huyu wameamua kutoa $430,000 ili aachiliwe salama...Ni hatari sana jamaa kama huyu anapotekwa mchana peupe..
 
Jeshi na intelligence hovyo kabisa itampata aje kwani hujasikia kisingizio ati alitekwa na Wakenya?
1539943826038.png
1539943881114.png
familia ya huyu jamaa wangefanya kuandika intelligent agencies ya Kenya au ya ng'ambo...hawa bongolala tu vichwa maembe
 
Nimetazama BBC si kitambo kuhusu taarifa ya kutekwa nyara kwa mwanabishara maarufu kule bongo...Naskia familia ya Trillionaire huyu wameamua kutoa $430,000 ili aachiliwe salama...Ni hatari sana jamaa kama huyu anapotekwa mchana peupe..
unaandika pumba tu, exchange rate ya Korean won kwa usd ni 1000 to 1 yani two billions za Mo ni zaidi ya 2 trillion Korean won. Sasa kwa msuli wa Korea mna udole wa kuwadhihaki? Au kuambiwa ni 100 ksh to 1$ mnajiona mna uchumi mkubwa?
 
hivi una akili wewe kima?😳🙄 mambo ya exchange rate mara korean won nimetaja wapi jameni😀😀😀au unjishuku?
 
Korea wana viwanda vyao, hivyo sarafu yao haipigwi vita na za nje, nyie mnaagiza hata sindano pesa zenu madafu leo mnataka mjilinganishe na Wajapan....bure kabisa.
 
Korea wana viwanda vyao, hivyo sarafu yao haipigwi vita na za nje, nyie mnaagiza hata sindano peza zenu madafu leo mnataka mjilinganishe na Wajapan....bure kabisa.
😀😀😀
 
View attachment 903209View attachment 903212familia ya huyu jamaa wangefanya kuandika intelligent agencies ya Kenya au ya ng'ambo...hawa bongolala tu vichwa maembe

Ukiona wanaelekeza kidole Kenya tayari wamshindwa, hehehe Tanzania huwa nchi ya ajabu sana, yaani ni rahisi sana kuwapumbaza raia wake, ukishindwa kitu itaje tu Kenya, wote wataelekeza pua Kenya na kukuacha.
Siwaelewi hawa majamaa yani ni kama watu akili punguani kupitia mind control.
 
hivi una akili wewe kima?😳🙄 mambo ya exchange rate mara korean won nimetaja wapi jameni😀😀😀au unjishuku?
ulikua hujui kua kudhihaki 1 billion Tzs ni upumbavu being of almost the same value as Samsung manufacturers. Its sounded like a few shs to you et eh? Huna akili, 1 billion tzs sio pesa unaweza kuidhihaki kwa ku-convert into usd. Thats the amount your government received as food aid from China.
 
Sasa wanasingizia wakenya. Mimi kama mkenya nilipanda daladala lini nikawahi bongo kuteka huyu mtu? Akili majimaji rebellion
 
Korea wana viwanda vyao, hivyo sarafu yao haipigwi vita na za nje, nyie mnaagiza hata sindano pesa zenu madafu leo mnataka mjilinganishe na Wajapan....bure kabisa.
ujinga ni kufikiri kwamba kwakua ksh ni 100 to 1 kwa usd basi ni bora zaidi na ni sahihi kudhihaki tzs, converting 1 billion tzs to usd was a mistake. It should have read 1billion tzs.
 
ulikua hujui kua kudhihaki 1 billion Tzs ni upumbavu being of almost the same value as Samsung manufacturers. Its sounded like a few shs to you et eh? Huna akili, 1 billion tzs sio pesa unaweza kuidhihaki kwa ku-convert into usd. Thats the amount your government received as food aid from China.
wewe maembe nikama umekunywa konyagi leo😀😀😀mimi sjataja popote kuhusu exchange rate mara billion tzs, mara usd..habari ipo pale juu simple and clear...kwanza ipo kwa kiswahili...au niandike kwa kisukuma?😀😀😀ila ukitaka tuzungumzie exchange bado naweza nikazungumzia....ni nani hajuiu kuwa tzs ni hela madafu...
 
acha upuuzi, the family said it will give 1 tzs billion we hiyo ya usd umeipata wapi? I saw what BBC wrote as well, it wasn't anything less that 1 billion tzs. You converted it yourself
 
smh...so ulitaka niandike kwa tzs au??😀😀haya mimi tzs siitambui maana mimi mkenya...ndio maana nikaandika kwa dola za marekani...hela ambazo sote tutaelewa kiasi chake maana usd ni universal currency😀😀😀comprende? mbona unawashwa washwa hivi?
 
Wewe Nyang'au mbona unachemka sana!? Nini mbaya!!
 
Kwani kenya nanyinyi mna intelliget agencies???
unauliza au unajibu? tuulizni tuwaazime intelligence agency mwone trilionea akirudishwa nyumbani salama na watekaji wakikamatwa mara moja...
 
Back
Top Bottom