Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Sasa kwanini wasituamshe,kwani wameambiwa aliyelala anafurahia lift?Sio tunaenda Tunapelekwa kuzikwa kaburini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini wasituamshe,kwani wameambiwa aliyelala anafurahia lift?Sio tunaenda Tunapelekwa kuzikwa kaburini
Vipi ukatangulia halafu ukatuletea kamrejesho?Ukifa utabaki tu kwenye kumbukumbu za watu, utakumbukwa kwa uzuri ama ubaya, hizi pepo na moto hazina uthibitisho ni imani tu..
Kwahiyo kwenye mfuko wa uzazi kabla ya kuzaliwa ulikuwa mfu?Hakuna mahali popote pale tutakapo kwenda.
Tukishakufa tunaoza na kuwa sehemu ya udongo tu.
Hatukuwepo mahali popote pale kabla ya kuzaliwa kwetu, Vivyo hivyo hatutakuwepo mahali popote pale baada ya kufa.
Tukifa tunarudi hali ileile ya kutokuwepo kabla ya kuzaliwa.
We had no life before birth and we will not have life after death.
Wao walishakufa wakarudi?Kwani hujawahi kusikia kwa manabii na mitume wakileo juu habari za miujiza,waulize wanaweza kukupa jibu
Nikienda sirudi kuna mito ya pombe asali na maziwa, we ni kunywa tu halafu kuna bikra wa kutosha huko, nikienda sirudi..Vipi ukatangulia halafu ukatuletea kamrejesho?
Tutaishi milele baada ya kukufa,maisha yasio ya mihanjo na iwapo tuu,tuliishi kwa kumwabudu na kumheshimu Mungu.Hakuna mahali popote pale tutakapo kwenda.
Tukishakufa tunaoza na kuwa sehemu ya udongo tu.
Hatukuwepo mahali popote pale kabla ya kuzaliwa kwetu, Vivyo hivyo hatutakuwepo mahali popote pale baada ya kufa.
Tukifa tunarudi hali ileile ya kutokuwepo kabla ya kuzaliwa.
We had no life before birth and we will not have life after death.
Hujasikia shuhuda?Wao walishakufa wakarudi?
Jaribu kukufa halafu ujue na utujuzeKaburini kifuatacho sijui kwa maana nami sijawahi kufa
Mbona una mawazo ya kitotoJaribu kukufa halafu ujue na utujuze
Lete basi ya kizee,ya kikubwaMbona una mawazo ya kitoto
Huamshwi kwa sababu uwezi kuamka Tena tumesha waamsha Sana na hawakuamka mwisho wa siku wakatoa harufu ya kukera.Sasa kwanini wasituamshe,kwani wameambiwa aliyelala anafurahia lift?
Hili swali aliwahi kuulizwa Yesu mara kadhaa, na mara ya mwisho aliulizwa akiwa msalabani na mharifu akiwa pale msalabani, na Yesu akamjibu pale pale.Hivi tukiacha blaahblaah na porojo za kufarijiana kiimani, tukifa tunaenda wapi?
Eti wakuu?
Hili jibu ambayo kidogo huenda,labda linaweza kukupa picha iwapo utajiuliza kabla hujazaliwa ulikuwa wapi?Labda Unarudi ulipokuwa kabla ya kuzaliwa 🐼
Tupa hapa hiyo story ndefu maisha ndio haya hayaUnazaliwa bara lingine na jinsia tofauti.
Mi nakumbuka kabla sijafa na kuzaliwa bara jeusi, nilikuwa askari mwanamke mtiifu wa Adolf Hittler.
Ilikuwa tarehe 6June 1944 (D-Day), wakati majeshi wa Marekani wanatuvamia kupitia Omaha bay. Ambapo ilipewa code "Operation Overlord".
Ni story ndefu......
Motoni milele vs uzima wa milele. Kuna njia mbili kubwa. 1.Njia pana, na mlango ni mpana waiendeayo ni wengi ndio hiyo iendayo motoni. 2.Njia nyembamba, na imesonga kwa kuwa imesonga waionayo ni wachache sana ndio njia iendayo uzimani. Yu karibu malangoni.Hivi tukiacha blaahblaah na porojo za kufarijiana kiimani, tukifa tunaenda wapi?
Eti wakuu?
We acha tu, ngoja tu kukuche,ni mambo mazito ndugu yangu.Tupa hapa hiyo story ndefu maisha ndio haya haya
Hivi mkuu kwanini sisi huwa tuna vichwa vigumu hivi? Mleta mada kaweka wazi " Ukiachana na masuala ya imani"Motoni milele vs uzima wa milele. Kuna njia mbili kubwa. 1.Njia pana, na waiendeayo ni wengi ndio hiyo iendayo motoni. 2.Njia nyembamba, imesonga kwa kuwa imesonga waionayo ni wachache sana ndio njia iendayo uzimani. Yu karibu malangoni.