Hivi tukiacha ushabiki, Diamond Platnumz anamuweza kweli Hamornize (Konde Boy)?

Hivi tukiacha ushabiki, Diamond Platnumz anamuweza kweli Hamornize (Konde Boy)?

Kati ya hao nani alikuwa ana mgeza mwenzie uandishi, uimbaji na swagz?
 
Inshu nzito, waliopo Konde Gang wote walikuwa wcb, Sasa sielewi huyu Dogo live anaimba kuliko diamond, ana hit nyingi resently kuliko mond, amezidiwa fame na diamond, amezidiwa hela na diamond lakini nadhani kimziki amemzidi faza, labda ndo Mana akamsaliji koz alikuwa anajua huyu ana kauwezo flani kauwezo ambacho kanamuumiza mond platinum.

All in all mond ni mkali sana, ningekuwa mond ningefurahi sana kuona Konde ana shaini ningefurahi mno Mana najua ametokea kwapani kwangu ni Kama mama na mtoto mama hawezi sikia wivu kwa mwanae hata siku moja. Yaani ningekuwa diamond ningekuwa happy na harmonize mno, si mwanangu
Kimuziki Konde Boy yuko juu zaidi ya Diamond, hili halina ubishi ila kimaendeleo domo anamzidi Konde Boy. Na si Konde Boy tu, kuna vijana wengi wanamzidi domo kimuziki.
 
Kwenye Suala La Kuimba Platnumz Hamuwez Yule Mmakonde, Ila Kuhusu Mafanikio Ya Kimziki Mmakonde Ameachwa Mbali Sana Na Platnumz.
 
Inshu nzito, waliopo Konde Gang wote walikuwa WCB, Sasa sielewi huyu Dogo live anaimba kuliko Diamond, ana hit nyingi resently kuliko Mond, amezidiwa fame na Diamond, amezidiwa hela na Diamond lakini nadhani kimziki amemzidi faza, labda ndo Mana akamsaliji koz alikuwa anajua huyu ana kauwezo flani kauwezo ambacho kanamuumiza Mond Platinum.

All in all Mond ni mkali sana, ningekuwa Mond ningefurahi sana kuona Konde ana shaini ningefurahi mno Mana najua ametokea kwapani kwangu ni Kama mama na mtoto mama hawezi sikia wivu kwa mwanae hata siku moja.

Yaani ningekuwa Diamond ningekuwa happy na Harmonize mno, si mwanangu.

View attachment 2152725
Harmonize na Diamond​
Unalinganisha vitu visivyostahili kuvilinganisha, bila ushabiki na mbinu ya kujishindanisha na Diamond asingekuwa topic hapa.
Hii ni mbinu nyingine ya kumpa promo ili aendelee kuwepo masikioni mwa watu, kuna vijana wengi sana wa kumlinganisha nao ambao ni size yake ila Diamond anatumika strategically kama ngazi ya kumsaidia kupanda juu.
 
Hahaha cheiiii,naona mnaandaa takwimu za kupika
imebuma kwa mapenzi yako, lakini kwa uhalisia ep imetoboa na ina kasi ya ajabu baada ya mwezi tutakuwa tunaongea mengine.
 
Inshu nzito, waliopo Konde Gang wote walikuwa WCB, Sasa sielewi huyu Dogo live anaimba kuliko Diamond, ana hit nyingi resently kuliko Mond, amezidiwa fame na Diamond, amezidiwa hela na Diamond lakini nadhani kimziki amemzidi faza, labda ndo Mana akamsaliji koz alikuwa anajua huyu ana kauwezo flani kauwezo ambacho kanamuumiza Mond Platinum.

All in all Mond ni mkali sana, ningekuwa Mond ningefurahi sana kuona Konde ana shaini ningefurahi mno Mana najua ametokea kwapani kwangu ni Kama mama na mtoto mama hawezi sikia wivu kwa mwanae hata siku moja.

Yaani ningekuwa Diamond ningekuwa happy na Harmonize mno, si mwanangu.

View attachment 2152725
Harmonize na Diamond​
haya mambo haya kazi sana. yan mtoa mada anasema tukiacha ushabiki, ile hali ye mwenyewe kaweka ushabiki.

eti tukiacha ushabiki diamond anamuweza kweli harmonize? hiyo kauli tu inaonesha ushabiki
 
Back
Top Bottom