Hivi tukiacha ushabiki, Diamond Platnumz anamuweza kweli Hamornize (Konde Boy)?

Hivi tukiacha ushabiki, Diamond Platnumz anamuweza kweli Hamornize (Konde Boy)?

Ep mbovu kuwahi kutokea

Hakuna ubunifu,Beat kaiba Nigeria
 
ww umeandaa ep gani yenye ubunifu tuisikilize?
Uliambiwa na nani mimi ni msanii?

Kasikilize wimbo wa loyal na wimbo wa wizkid essence tena sikiliza instrumental na audio

Kasikilize wimbo wa fresh na wimbo wa tit for tat
 
Kweli harmo anazingua nadhani vinavyomharibia ni sifa za kijinga na ushauri mbovu wa wapambe
Amelipua sana aisee.. Mond kashachoka,ila ushamba wa harmo ndo unaboa zaidi japo anajua
 
Inshu nzito, waliopo Konde Gang wote walikuwa WCB, Sasa sielewi huyu Dogo live anaimba kuliko Diamond, ana hit nyingi resently kuliko Mond, amezidiwa fame na Diamond, amezidiwa hela na Diamond lakini nadhani kimziki amemzidi faza, labda ndo Mana akamsaliji koz alikuwa anajua huyu ana kauwezo flani kauwezo ambacho kanamuumiza Mond Platinum.

All in all Mond ni mkali sana, ningekuwa Mond ningefurahi sana kuona Konde ana shaini ningefurahi mno Mana najua ametokea kwapani kwangu ni Kama mama na mtoto mama hawezi sikia wivu kwa mwanae hata siku moja.

Yaani ningekuwa Diamond ningekuwa happy na Harmonize mno, si mwanangu.

View attachment 2152725
Harmonize na Diamond​
Mond mkali ila namkubal zaid konde akiperfom live band naenjoy sana kama mboso vile
 
Konde boy wa moto kwenye mzik wa bongo sahiv..

Ila Mond anajua kufanya biashara ya mzik..

but uwezo, Konde yupo juu
 
Back
Top Bottom