Hivi tukiacha ushabiki, Diamond Platnumz anamuweza kweli Hamornize (Konde Boy)?

Kati ya hao nani alikuwa ana mgeza mwenzie uandishi, uimbaji na swagz?
 
Kimuziki Konde Boy yuko juu zaidi ya Diamond, hili halina ubishi ila kimaendeleo domo anamzidi Konde Boy. Na si Konde Boy tu, kuna vijana wengi wanamzidi domo kimuziki.
 
Kwenye Suala La Kuimba Platnumz Hamuwez Yule Mmakonde, Ila Kuhusu Mafanikio Ya Kimziki Mmakonde Ameachwa Mbali Sana Na Platnumz.
 
Unalinganisha vitu visivyostahili kuvilinganisha, bila ushabiki na mbinu ya kujishindanisha na Diamond asingekuwa topic hapa.
Hii ni mbinu nyingine ya kumpa promo ili aendelee kuwepo masikioni mwa watu, kuna vijana wengi sana wa kumlinganisha nao ambao ni size yake ila Diamond anatumika strategically kama ngazi ya kumsaidia kupanda juu.
 
Hahaha cheiiii,naona mnaandaa takwimu za kupika
imebuma kwa mapenzi yako, lakini kwa uhalisia ep imetoboa na ina kasi ya ajabu baada ya mwezi tutakuwa tunaongea mengine.
 
haya mambo haya kazi sana. yan mtoa mada anasema tukiacha ushabiki, ile hali ye mwenyewe kaweka ushabiki.

eti tukiacha ushabiki diamond anamuweza kweli harmonize? hiyo kauli tu inaonesha ushabiki
 
EP imebumaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…