Hivi tukiacha ushabiki, Diamond Platnumz anamuweza kweli Hamornize (Konde Boy)?

Ep mbovu kuwahi kutokea

Hakuna ubunifu,Beat kaiba Nigeria
 
ww umeandaa ep gani yenye ubunifu tuisikilize?
Uliambiwa na nani mimi ni msanii?

Kasikilize wimbo wa loyal na wimbo wa wizkid essence tena sikiliza instrumental na audio

Kasikilize wimbo wa fresh na wimbo wa tit for tat
 
Kweli harmo anazingua nadhani vinavyomharibia ni sifa za kijinga na ushauri mbovu wa wapambe
Amelipua sana aisee.. Mond kashachoka,ila ushamba wa harmo ndo unaboa zaidi japo anajua
 
Mond mkali ila namkubal zaid konde akiperfom live band naenjoy sana kama mboso vile
 
Konde boy wa moto kwenye mzik wa bongo sahiv..

Ila Mond anajua kufanya biashara ya mzik..

but uwezo, Konde yupo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…