Hivi tukio hili tunaweza kuliweka kundi la Uchawi? Niliyoyaona live siku ile

kwamba hata trick ya kumeza ela tu itachukua muda mrefu?
[/QUOTE]

Kumeza hela ni tukio ambalo macho yako yameona, na hiyo ni baada ya kuwa tricked

Hilo ni lengo ambalo mwana mazingaombwe alitaka wewe uone hivyo, theres something hidden behind that

Kihalisia ni kwamba hakuna tukio la kumeza hela lililofanyika kwenye hayo maonesho, bali ni ujanja wa ku-misdirect macho na kuona kwamba mtu kameza hela

Hata hiyo clip niliyokuwekea hapo juu inayoonesha mtu akimeza upanga, uhalisia wake ni tofauti kwa maana kwamba sio kweli kua mtu alimeza upanga.

Unachokizungumzia wewe kwenye ishu ya kumeza hela ndio shabaha ya magician ambayo alitaka wewe uone, ni sawa na mtu anayesema ameona mtu kameza upanga.

Hizi ni tricks zinafundishwa na watu wanalipia ada, we unasema uchawi
[/QUOTE]
 
Leo ndiyo majibu ya wabishi yamepatikana.

Kutokuwa na elimu ya jambo fulani, ama kutokuwa na imani fulani, hakuzuii mambo hayo kuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba hata trick ya kumeza ela tu itachukua muda mrefu?
[/QUOTE]
Kumeza hela ni tukio ambalo macho yako yameona, na hiyo ni baada ya kuwa tricked
[/QUOTE]
hapo baada ya kuwa tricked ni kipndi gani cha tukio? maana kumeza ela ndio kilikua kitendo cha kwanza.! unataka kusema anakutrick kabla ya kuanza hiyo show ya kumeza ela?
 
Àà

Hakuwa na mazoea ya kivile isipokuwa salamu tuu.
 
Biblia uliyoletewa na mizungu ili uwe mtumwa wao wa milele.



🤣🤣🤣🤣🤣

Biblia ni moja ya vitabu vinavyosimulia habari za miungu ili mikuu kabisa.

Kuhusu suala la UTUMWA Inategemea na nitakavyofundishwa
 


Hivyo upo lile kundi linaloamini Mungu hayupo??

Kama ndivyo nianze mjadala hapa
 
mkuu tupo level tofauti kiufahamu hivo hatuwezi kuelewana, mmoja wetu ufaham wake kauwekea mipaka kua asoyajua hayapo na mwingine kauacha huru ufaham maana elimu haina mwisho.
 
mkuu elimu haina mwisho hivo usiseme no kwa usoyajua/usoyaamini, uache huru ufahamu wako upate kujifunza zaidi bt ukiuwekea mipaka kwa usichokiamini utabaki mbishani tu ajili ya kukosa maarifa.
 
mkuu tupo level tofauti kiufahamu hivo hatuwezi kuelewana, mmoja wetu ufaham wake kauwekea mipaka kua asoyajua hayapo na mwingine kauacha huru ufaham maana elimu haina mwisho.
Hapana tupo level moja, ia utofauti unapokuja ni kila mmoja anavyo define jambo fulani ambalo limeshuhudiwa na wote wawili.

Mwingine anasema ni uchawi kwa kuhusisha supernatural power kwasababu hajui mechanism ya hilo jambo lilivyotokea au kufanyika, ila mwingine analiita ni tukio la ujanja ambapo linaweza kufanywa na mtu yeyote
 
hapo baada ya kuwa tricked ni kipndi gani cha tukio? maana kumeza ela ndio kilikua kitendo cha kwanza.! unataka kusema anakutrick kabla ya kuanza hiyo show ya kumeza ela?

Ulichokiona wewe ni illusion, labda nizungumze kupitia mfano wa hiyo video niliyokuwekea ni wakati gani ambapo uliona perfomer akimeza upanga?

Kwa utashi wako hilo tukio la wewe kuona hivyo unaliweka katika angle gani, ni baada ya kuwa tricked au kabla?

Afu uwe una quote vizuri post, inachanganya sana kiasi cha mimi tena kuanza kupangilia upya comment yako
 
Watu hawapendi kufikiria nje ya kile wanachokiona au kusimulia, Aristotle alishawahi kusema kwamba macho yanaweza kuongopewa kirahisi sana, hivyo kila unachokiona sio mara zote uhalisia wake utakua hivyo hivyo

Juzi hapa kuna mmoja kaanzisha uzi eti CCTV zimemnasa mchawi na mapeta wengi wakaamini ile habari
 
Ikiwa ni hivyo nafikiri unafanya makosa kujadili Jambo na wanaoamini uwepo wake.
Nafikiri kosa lipo kwako wewe kwa kushindwa kuonesha kivipi mimi kujadili hii mada na watu wanaoamini uwepo wake iwe ni kosa
 
mkuu elimu haina mwisho hivo usiseme no kwa usoyajua/usoyaamini, uache huru ufahamu wako upate kujifunza zaidi bt ukiuwekea mipaka kwa usichokiamini utabaki mbishani tu ajili ya kukosa maarifa.

Nani anayehitaji kuwa open-minded kati yetu? Wewe ambaye ukiambiwa tu unaamini hapo hapo au mimi ambaye na-question everything?

Story zenu zote ni hearsay na nyie mnaziamini kama msaafu ila sisi tunawapa reasoning kabisa na bado hamtaki mnaishia kuamini tu kama nyumbu.
 
mh haya
 
Wanasayansi yapo mambo yamewazidi Uelewa ndio maana yanawashinda.

Sio kila kitu kinaonekana au kugusika
Wanasayansi kushindwa katika jambo lolote hakutoi mwanya wa wewe kuhalalisha jambo fulani pasipo kuweka ithibati kisa tu sayansi kuna mambo yanawazidi

Mtu kutojua jibu la kitu fulani haimaanishi kwamba jibu fulani ambalo halijapitia uchunguzi ndio jibu sahihi.

Kitu kutokuonekana wala kuto gusika sio sababu ya hicho kitu kushindwa kuthibitishika
 
Mkuu chunguza kwa umakini hicho kinachodaiwa kua ni uchawi, mara nyingi ni ujanja ujanja tu

Ingekua mambo yanafanyika kirahisi hivyo kama ambavyo tunasimuliana humu sidhani kama ile dollar Million 1 ingechukua miaka mingi vile bila kupatikana mchawi ambaye angeweza kuthibitisha
 
Nje ya mada kwani umekulia mkoa gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…