kidonto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 1,961
- 2,918
Weeeh! Wanasayansi watakwambia Maralia ilipanda Kichwani, ama Kuna Jambo alilifikilia Sana Mchana......!Yule Dada mwenye maziwa ya Mbwa anatisha Kama nini?
Madaktari watueleze inawezakana vipi Binadamu awe na maziwa ya Mbwa?
Usishangae wakaomba uthibisho....