Hivi tukio hili tunaweza kuliweka kundi la Uchawi? Niliyoyaona live siku ile

Hivi tukio hili tunaweza kuliweka kundi la Uchawi? Niliyoyaona live siku ile

ni rahisi kuja na ngonjera za namna hii bt amini usiamin uchawi upo na unatesa maelfu ya watu katika jamii zetu.

Unataka aamini kama nyumbu tu wakati ana bongo na anaweza kufikiri.

Story za kusadikika za uchawi zinaaminiwa na watu wajinga na wavivu wa kufikiri.
 
Ina
Mwaka 1964 James randi aliweka dollar 1M kwa yeyote atakayefanikisha kuthibitisha uchawi upo, maelfu ya watu walijitokeza kugombea hiyo challenge lakini mpaka 2015 challenge likawa terminated ikiwa hakuna aliyeweza kufanikiwa kuthibitisha
Maana hata wachawi wenyewe hawakutokea???
 
Unataka aamini kama nyumbu tu wakati ana bongo na anaweza kufikiri.

Story za kusadikika za uchawi zinaaminiwa na watu wajinga na wavivu wa kufikiri.

Upo sahihi Kwa Uelewa wako.

Hata wewe Kama mtu angetokea mtu Karne ya 16 akasema Bufa atazaliwa Karne ya 20 ungesema ni Stori ya kusadikika.

Au miaka ya 3000 huko mtu akisema ulikuwepo wapo watakaosema ni Stori za kusadikika.

Mimi siamini Uchawi wala ushirikina, Ila hakunifanyi niamini havipo.

Kusema hakuna Uchawi ni kusema hakuna miujiza, kusema hakuna Shetani ni kusema hakuna MUNGU.

Na yeyote asemaye hivyo biblia imemtaja Kama Mpumbavu.
 
Mwaka 1964 James randi aliweka dollar 1M kwa yeyote atakayefanikisha kuthibitisha uchawi upo, maelfu ya watu walijitokeza kugombea hiyo challenge lakini mpaka 2015 challenge likawa terminated ikiwa hakuna aliyeweza kufanikiwa kuthibitisha

😀😀😀😀

Mambo ya Imani hayathibitishwi Kwa matakwa ya mtu Fulani.

Hata Mungu huwezi jisemea kuwa atakayemthibitisha Mungu kuna Trillion moja hapa, hawezi kujitokeza.
 
Mwaka 1964 James randi aliweka dollar 1M kwa yeyote atakayefanikisha kuthibitisha uchawi upo, maelfu ya watu walijitokeza kugombea hiyo challenge lakini mpaka 2015 challenge likawa terminated ikiwa hakuna aliyeweza kufanikiwa kuthibitisha
Wazungu wamekuharibu kichwa

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Iseee pole sana me kuna siku HUYO mchawi kaja alivyoona kashindwa akavaa sura ya mdogo wangu weee nilimpa kichapo alikimbia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu haya mambo yapo, haijalishi unaamini au la, mimi nimewahi kushuhudia mjomba wangu akipooza mwili mzima ajili ya kudai mirathi, iliposhindikana kudai kwa njia ya kawaida alifungua kesi, baada ya kufungua kesi aliambiwa na mke wa babu mdogo "we si unajifanya unajua haya tutaona" usiku wa kuamkia siku kesi inaanza kusikilizwa alipooza na hakuwahi hudhuria kesi mpaka ikafutwa, mama, ancle mdogo na wadogo zao waliogopa kuhudhuria wakijua nao yatawafika, baada ya kupona alitokomea mazima hadi leo hatujawahi kumuona.
Una kiwango gani cha elimu
 
Back
Top Bottom