Hivi tukisema tuchague Rais wa member hapa JF tutampa yupi kati ya hawa?

Hivi tukisema tuchague Rais wa member hapa JF tutampa yupi kati ya hawa?

Hakuna kiongozi hapo, kwa mbali sana mshana Jr labda
 
Ukimwita Baba yako ni kenge maana na wewe my Son ni kenge pia.

Hebu nenda kacheze mvuwa hizi nipo na mama yako tunakutafutia mdogo wako.
We utakuwa baba gani akili imejaa matope ivo
Ushauri hama madongo kuinama mvua itakusomba hii
 
Raisi: Jingalao
Makamu: Deo kisandu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeandika huku nacheka
 
Back
Top Bottom