Hivi tukisema tuchague Rais wa member hapa JF tutampa yupi kati ya hawa?

Ikitokea naomba nimrithi Mh. Jecha plz, kuna kazi maalum yakufanya
 
mkimaliza kupiga kura "" subirini matokeo kutoka kwangu "" Lubuva Nipo hapa ""
 
bora mshana, ila genta nina wasiwasi nae ni mhutu wa rwanda, mfatilieni mtagundua hilo.
 
The president of jamii forums,

Should be Hon: ONTARIO.
 
gentamycine iko poa ila ataleta utusi wake hapa aanze mauwaji kama yale wanayo yafanya congo na burundi na Mshana J naye ataleta uchawi ... na uyo gudume ataleta usenge ..apo bora mimi niwe raisi wenu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…