HIVI TUMEKOSA KABISA KIONGOZI MZALENDO ANAEWEZA KUWEZA KISIKI KWA YANAYOENDELEA???

HIVI TUMEKOSA KABISA KIONGOZI MZALENDO ANAEWEZA KUWEZA KISIKI KWA YANAYOENDELEA???

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
316
Reaction score
549
Wakuu
Nimepitia page ya mange kiukwel kama mtanzania mzalendo nafsi inaniuma sana yn watu wanajikusanyia ukwasi wa hali ya juu
Watanzania wanateseka barabara mbovu,hospital hakuna dawa,usafiri shida,maji shida,elimu mbaya,ajira hakuna
Umaskini ndo usiseme
Alaf kuna watu wachache ambao wanatembelea hospital,wanakula barabara,wanaish kwny maisha ambayo hakuna mwanaccm wa hali ya chini kutoka kijijini ndani ndani huko atakuja kuyaish sio yeye tuu mpk vizazi vyake vyote
Wakati yote hayo yakiendelea kuna vyombo tulitamani vifanye kitu lakini vimefumba macho kabisa
Daaah inauma sana,wasanii na watu ambao wapo karibu na haya mambo wameshindwa kabsa kuonesha uchungu na uzarendo
Yan tanzania nzima wazarendo ni wapinzani tuu jamani???
Tuamke jamani watanzania hali ni mbaya sana,mtu unapataje nguvu ya kusifia viongoz wakati hali ni mbaya kwa wananchi
 
Niliweka matumaini kwa sidiefu huyu kuwa atanipindulia meza ya huyu kilaza lkn naona ananiangusha
 
Mkuu huo ukwasi hauna maana we subiri mama atoke madarakani utavopukutika
 
Back
Top Bottom