Hivi tunaweza kufungua kesi ya madai kwa Wazungu kutokana na nyara walizochukua Afrika?

Anita Kajembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
215
Reaction score
487

Wakati wa Ukoloni Wazungu waliwinda wanyama na wakisafurisha nyara bila ridhaa yetu. Pichani ni urembo wa vichwa vya wanyama na ngozi, haya yalikua ni mapambo ya kawaida kwa Wazungu matajiri. Wanasheria wanaweza kufungua kesi ya madai?
 
Hayo mapambo mara nyingi yanamilikiwa na trophy hunters ambao wanakuwa na kibali cha kuwinda baadhi ya wanyama kwaajili ya trophies so ni kama wale wenye vibali vya game hunting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…