Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu akishindwa mtafanya nini?

Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu akishindwa mtafanya nini?

Hahhaah. Yaani kabisa ulikaa kutegemea wabongo wakinukishe kisa Halima Mdee kakosa ubunge?

Wabongo mikwala mingiii.
Wewe ukitaka tukinukishe maisha yawe magumu. Bado maisha sio magumu. Ugali upo bado. Life likiwa gumu unga hakuna njaa siku tatu hata wewe sweet kidume unayetumia jina la kike utaingiza makalio bara barani tu. Kama moroko
Nakubaliana na ww, bado maisha hayajawa magumu hivyo...ila nafasi hiyo alikua nayo Lowassa 2015( wamachinga) akashindwa kuitumia. Magufuli ameingia akawapa uhuru wa kufanya biashara. Nani aandamane?
 
Back
Top Bottom